Kenya ni fujo tupu, polisi wawachapa viboko Journalists kama watoto wadogo

Kenya ni fujo tupu, polisi wawachapa viboko Journalists kama watoto wadogo

[emoji16]
20200910_222206.jpg
 
Their mistake?!?! Poking their noses and sniffing where they are not supposed to poke and sniff..
Reporting news of police harassment and brutality against those against government is what you call area they are not supposed to be, and you claim to have freedom of media.


Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 

MY TAKE: Utawasikia "Kenya waandishi wa habari wapo huru ", stupid.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app


Haya marungu wanatumia kama 'fimbo' ya kuchapa raia wakati siyo fimbo ni rungu lenye uwezo wa kupasua kichwa au kuvunja mbavu na miguu ya raia waKenya.

MK254 wafundishe na kuwaonya polisi na wakenya kuwa huwezi kutumia rungu ukasema umechapa bali umepiga au pigwa rungu ndiyo kiSwahili sanifu. Stop minimizing police brutality.
 
Wako na katiba mpya...hawa sasa kwenye hiyo katiba ilirusu wandishi wa habari kula kichapo ?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]
 
😂😂😂😂😂 Hayo marungu ya kuua nyoka police wameyatoa wapi?

Utasikia wana budget kubwa ya jeshi 😂😂😂

Na kichapo kinaendelea kusambazwa 😅🤔
 
Back
Top Bottom