Kenya imekuwa mfano mzuri wa kuigwa kwasababu kila uchaguzi wanafanya vizuri zaidi. Ukweli ni kwamba pamoja na matatizo yao wanapiga hatua mbele kwenye demokrasia wakati nchi jirani karibu zote ziko palepale. Juzi walisema mimi ni Mwigulu kwasababu ya kumtetea Mama Samia kwenye tozo. Leo nakubaliana na Lema kwenye hili sijui nitaitwa nani leo?!