Kenya ni nchi pekee Afrika/Duniani ambako kuoga ni "Luxury", wafadhili wa kimataifa hutoa misaada ili kuwaogesha raia

Kenya ni nchi pekee Afrika/Duniani ambako kuoga ni "Luxury", wafadhili wa kimataifa hutoa misaada ili kuwaogesha raia

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Janga la corona limeendelea kuathiri watu wengi wakiwemo baadhi ya wasichana mtaani mathare hapa jijini Nairobi ambao sasa wamelazimika kusalia bila kuoga kutokana na huduma ambayo hapo awali walikuwa wakiipata shuleni. Mara nyingi familia zao zimekuwa njia panda kuhusu kipi cha muhimu kati ya kununua chakula na kulipa shilingi 15 kuoga.

======


MY TAKE: This is more than too much, beyond failed state characteristics.
 
Sasa hii imevuka viwango....kwahapa meingia kundi jipya hata failed state haiwafa kabisa
 
Hapa JF tumkamate MK254 tumpeleke car wash 🤣🤣🤣

Ndiyo maana unakuta mnajadili mambo ya msingi kwa utulivu wa hali ya juu, lakini utakuta wengine wanaropoka maneno, mpaka unajiuliza, hivi hawa jamaa wana matatizo gani? Kumbe hawajaoga wiki nzima. Mbaya zaidi utakuta hawajala na wamefungiwa ndani na uhuru. Sasa majibu utakayopata utakoma.
😝 😝 😝
 
Back
Top Bottom