joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya Least Prepared To Battle Coronavirus- America Journal
Sasa hata katika hili pia watabisha na kusema hao waliofanya hiyo tafiti wanekosea.
Kenya kama nchi ipo na shida kubwa sana, badala ya kuendelea na kujisifu katika kila jambo, ni muhimu sasa muanze kujitadhimi kwa undani zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau na Nzige pia wamewashindwaHuku Al Shabab huku Corona, kazi ipo. Wanapenda sana kujimwambafai hawa jamaa; ni kuwaacha kama walivyo.
Duh.Kenya ni wakwanza kwa kila kitu hapa EA. Hata hili la korona wataongoza kwa idadi kubwa ya vifo.
Wanasema wao ni wa kwanza kwa kuongea Kiingereza Afrika nzima.
Tangu virusi viwaripue naona nyan'gau wote hapa jukwaani wametokomea kusikojulikana.Wanasoma uzi halafu wanapita kwa mbaliiii🙂
daaah umefanya nicheke sana mkuuKenya ni wakwanza kwa kila kitu hapa EA. Hata hili la korona wataongoza kwa idadi kubwa ya vifo.