Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
[emoji23][emoji23][emoji23]Lazima utakua mmojawapo wa hawa
Na Mali yate ya Tz iko Dar, the rest huko Mashinani ni maskini kupindukia.$500 ni elfu 50,000 ya Kenya pesa kidogo Sana Ila naona Umasikini wako unakuonyesha hizo Ni hela nyingi...kweli Tz ni LDC [emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mali yate ya Tz iko Dar, the rest huko Mashinani ni maskini kupindukia.
Lakini kenya ndo wanapata tabu sana kuhusu Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenyans mnaongoza kwa wizi na ufisadi ndo maana nchi yenu ina-smell ufisadi kila mahaliSi ukae huko LDC kwenu kwani wewe ndio nani? Mjinga tazama hii ndio paradiso yenyu huko Bongo.
Kwanza Tz ndio mna unyama kuwachinja albinos .
Kuko udikteta huwezi kuongea ukweli au kupinga ubavu wa Magufuli.
Bado Tz mpo LDC na ni uchumi wa chini mko kwa orodha ya mataifa maskini zaidi.
Dar es Salaam mji hauna mipangilio sawa hivi kwamba 70% makao ni slums.
Juzi tu watanzania 70 walikufa kwa moto mkali wakiiba mafuta kwa sababu ya umaskini.
Asilimia kubwa ya uchumi wenu inashikiliwa na wawekezaji wa Kenya.
Omba omba wengi wa Tanzania wamefika Nairobi kutoroka hio paradiso ya Tz
Nyani haoni kundule kwamba Tz ni nchi hoyvo sana sana hata wawekezaji wengi duniani wameliona hilo wakafanya Nairobi makao yao makuu ya makampuni zao Afrika .
$500 ni elfu 50,000 ya Kenya pesa kidogo Sana Ila naona Umasikini wako unakuonyesha hizo Ni hela nyingi...kweli Tz ni LDC 😂😂😂
[/QUOTE
acha ujinga, ngoja nikuelimishe, thamani ya kitu inategemeana na mazingira na mtu mwenyewe, sawa tunakubali hela yenu inathamani kuliko yetu, lakini kumbuka watanzania wanaishi maisha mazuri kuliko wakenya, sasa thamani ya hela yenu imewasaidia nn. afu kumbuka haya mambo ya kuthaminisha hela yameletwa na wakoloni kama mbadala wa ukoloni uliokua direct, badala ya kukufanyisha kazi kwenye mashamba sasa hivi hela yako ina shushwa thamani ilim waendelee kukutawala.
Uchumi wenu umeshikwa na mabeberu na bahat mbaya mna maendeleo ya vitu kama majengo ambayo 99% ownership ni mabeberu wachache huku nyie mkiishi maisha magumuSi ukae huko LDC kwenu kwani wewe ndio nani? Mjinga tazama hii ndio paradiso yenyu huko Bongo.
Kwanza Tz ndio mna unyama kuwachinja albinos .
Kuko udikteta huwezi kuongea ukweli au kupinga ubavu wa Magufuli.
Bado Tz mpo LDC na ni uchumi wa chini mko kwa orodha ya mataifa maskini zaidi.
Dar es Salaam mji hauna mipangilio sawa hivi kwamba 70% makao ni slums.
Juzi tu watanzania 70 walikufa kwa moto mkali wakiiba mafuta kwa sababu ya umaskini.
Asilimia kubwa ya uchumi wenu inashikiliwa na wawekezaji wa Kenya.
Omba omba wengi wa Tanzania wamefika Nairobi kutoroka hio paradiso ya Tz
Nyani haoni kundule kwamba Tz ni nchi hoyvo sana sana hata wawekezaji wengi duniani wameliona hilo wakafanya Nairobi makao yao makuu ya makampuni zao Afrika .
Nchi gani hata chakula mna-import?Ardhi yote ishanyakuliwaSi ukae huko LDC kwenu kwani wewe ndio nani? Mjinga tazama hii ndio paradiso yenyu huko Bongo.
Kwanza Tz ndio mna unyama kuwachinja albinos .
Kuko udikteta huwezi kuongea ukweli au kupinga ubavu wa Magufuli.
Bado Tz mpo LDC na ni uchumi wa chini mko kwa orodha ya mataifa maskini zaidi.
Dar es Salaam mji hauna mipangilio sawa hivi kwamba 70% makao ni slums.
Juzi tu watanzania 70 walikufa kwa moto mkali wakiiba mafuta kwa sababu ya umaskini.
Asilimia kubwa ya uchumi wenu inashikiliwa na wawekezaji wa Kenya.
Omba omba wengi wa Tanzania wamefika Nairobi kutoroka hio paradiso ya Tz
Nyani haoni kundule kwamba Tz ni nchi hoyvo sana sana hata wawekezaji wengi duniani wameliona hilo wakafanya Nairobi makao yao makuu ya makampuni zao Afrika .
You're absolutely right kenya useless peopleKuna nchi inayosikitisha kama kenya??
Madeni kibao
Gharama kubwa za maisha
Ugumu wa maisha ulopitiliza
Nchi iliyokwisha matumaini
Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa mpaka kisogoni![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki hata unipe dollar 500 unambie nichukue uraia wa kenya sikubali
Nchi ya hovyo kuwahi kutokea
Nchi gani hiyo ambayo 95% ya utajiri wa nchi kuanzia majengo,mashamba na bness zote zinamilikiwa na wazungu wachache na kenyatta family huku raia wakiwa masikini kuliko hata nchi yoyote ile ya Africa
Huwa mnachekesha sana wakenya
Hahahaha pamoja na pesa yenu kuwa na thamani lakini hamuna lolote njaa tu na maden$500 ni elfu 50,000 ya Kenya pesa kidogo Sana Ila naona Umasikini wako unakuonyesha hizo Ni hela nyingi...kweli Tz ni LDC [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nyie kila mwaka mnakufa kwa njaa ndo maana wachina waliwapa pombe instead of food[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We are very unbothered.
That's why even the few of us Kenyans on JF, are on the Kenyan section.
Watanzania mmetoka Jukwaa la Siasa kuja camping hapa. Have you ever found Kenyans on Jukwaa la siasa?
Vipi maelfu ya albino mnaowachinja kila mwaka na kula nyama zao...
Manzese Kuna matajiri? Oyster Bay Kuna masikini? Kadanganye Warundi.Tembea uone,
Tanzania sio kenya ambayo kuna matabaka kuna sehemu za matajiri na masikini [emoji23][emoji23][emoji23]
Manzese Kuna matajiri? Oyster Bay Kuna masikini? Kadanganye Warundi.
Kweli Kaka Kama hapa Tan HouseYeah hizo mitaa kuna wananchi wa vipati mbalimbali , tembea uone sio unakaa tu kuokota okota picha.
Na kuna nyumba nzuri pia ambazo hamna Nairobi nzima.
Kweli Kaka Kama hapa Tan House
So hapa Ni CBD na bado ni slum sio? View attachment 1185177
unaidharau wakati bedseater unalipia 20k,ngombe ya nyama wewe.Yani huyu jamaa yaonyesha ana maisha magumu sana...ksh 50,000 ndio anatoa nayo mfano...khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]