Kshs ama madafu shs?unaidharau wakati bedseater unalipia 20k,ngombe ya nyama wewe.
Tembea uone,
Tanzania sio kenya ambayo kuna matabaka kuna sehemu za matajiri na masikini [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unaishi wapi kwenye mojawapo wa haya maeneo
kwani ulimnuukuu jamaa akizungumzia pesa gani!!!!hiyo hiyo ya miraa.Kshs ama madafu shs?
Usimlaumu, hiyo $500 ni KES 50,000 tu ila kwa hela ya madafu tzshs ni 1,150,000! Akiwaza zaidi ya hapo ataanza kupiga hesabu za kununua wheelbarrow ya kusafirisha hela.Siku nifike ujifunze kujibu(quote).
Halafu 500 USD ni hela ndogo Sana .
Inashangaza mlivyo na uwezo mdogo wa kununua(purchasing power).
Muache kujilinganisha na Kenya.
Mnajiaibisha mbele ya kadamnasi.
unaidharau wakati bedseater unalipia 20k,ngombe ya nyama wewe.
Hiyo ni small case kwako wewe kuichukulia advantage ya kuja kuprove against us angalia mambo ya kiuchumi ndo uzungumze
nawewe una kwenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeaumia baba..kwanza we yaonyesha ndio unaishi kw bedseater..yani nitoke kwetu pazuri niende nikaishi kw bedseater mm...hata km ni ku hustle hapana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[/URL]Dah kuwachinja albino ni small case, kweli mumepinda, ndio maana mumelaniwa umaskini pamoja na nchi kuwa na raslimali nyingi, kula michemsho ya albino itawaponza sana hadi siku mtaacha.
Lete ushahidi Wa kila mwaka Wa hao albino waliochinjwa na takwimu zao..Vipi maelfu ya albino mnaowachinja kila mwaka na kula nyama zao...
Nitaishi juu ya mti. Nijenge kiota kama nyuni nikae huko ila kuishi katika nchi ambayo watoto na walemavu wa ngozi wanachinjwa kila uchao. NO! Nimekataa katakata Superleta
Wataje hao wazungu nikutajie wahindi na waarabu km kumi hv wanaoushikilia uchumi wa tanzania
utakuja saa ngapi?Ngoja tukuje kutoa povu! π
Weee unatoka Kenya ipi?
Kwani humfahamu familia Dalamare, Lord?