Kenya ni poor country hata bure siendi

Duuu bro umefunguka??
 
Duuu bro umefunguka??
Hapana mkuu ukweli lazima usemwe.
Kenya kwa miundombinu ya mipango miji na barabara tusidanganye Afrika mashariki wamekimbiza japo Daresalam tunawafukuzia nyuma.
Lakini sasa hali ya maisha ya hawa jamaa ni mbaya sana kiukweli mbaya tusidanganye bhanaa.
Sifa waache.
Yani haiwezekani nchi inayojisifia uchumi mkubwa isitishe ajira kwa miaka mitatu kaka hii iko saw kweli ???!!!!!!
Kuna wasomi wanamaliza mwaka huu vyuo,wapo wanaomaliza mwakan na wapo walomaliza hv punde nambie kwa miaka mitatu hilo wimbi la wakosaji ajira litakuaje???

Tuongee ukweli bhana kenya life tough aisee sio utani.
 
Serikali ya Kenya iko dhofu bin hali. Haina pesa za kuajiri watumishi wapya.
 
Now Imagine Kenya, the largest Economy in the region twice that Of Dangagiza. Then Danganyika must be the Devil's Kitchen. ... Heri niishi Yemen kuliko that Demonic dark country of A place Danganyika.
 
Povu la nini kaka??!!!!
We kubali nchi yako matatizo matatizo.
Nani atayekubali ishi nchi inasitisha ajira miaka mitatu ???
Nchi watu wanakufa njaaa???
Nchi kila kukicha watu wanalalamika gharama za maisha kubwa nan atayeridhika kuishi????
 
Nyanyest nyinyonyomi.

Now Imagine Kenya, the largest Economy in the region twice that Of Dangagiza. Then Danganyika must be the Devil's Kitchen. ... Heri niishi Yemen kuliko that Demonic dark country of A place Danganyika.
 
Now Imagine Kenya, the largest Economy in the region twice that Of Dangagiza. Then Danganyika must be the Devil's Kitchen. ... Heri niishi Yemen kuliko that Demonic dark country of A place Danganyika.
Hahahaha largest economy mnakufa kwa njaa?are you gone mad?
 
That is going to the extreme sis!!!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…