kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
That was my thinking... Na hawatalinda mileleMwisho wa siku ataliwa na mchwa tu, kwanza hilo jeneza lilindwe kwa makini maana ipo siku wakizubaa litaishia Grogon...
May be u'r referring to ur immediate (stupid) African familySasa what is the meaning of bulletproof Hapo? Is he afraid of bullets?
Tena wakora wakafukue kabisa wachukue hizo dhababu.
Africans are always stupid
Post sent using JamiiForums mobile app
Jeneza la mwenda zake Biwott limewasili nchini hii leo, lina features za hatari sana pamoja na kuwa ni bullet proof.
Zaidi soma Maisha ya Nicholas Biwott yazidi kukanganya Wakenya hata baada ya kifo chake
View attachment 543608
In a will, Biwott said even in death enemies would be all over him. He therefore demanded that he be buried inside a bullet proof coffin so as to scare away people aimed at him. He also told his beloved ones to bury him in a golden coffin, to symbolize his social status.
Biwott to be Buried in a Gold Bullet Proof Coffin-To Protect Him from Enemies | Venas News