uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
World giving index imeiorodhesha Kenya kama mojawapo ya nchi inayojitolea zaidi kusaidia nchi zenye uhitaji lakini sio nchi TU hata watu wake wameorodheshwa kama watu wanaojitolea zaidi kusaidia wengine
Pamoja na vita ndogo ndogo za siblings kati ya tz na Kenya ila nakubaliana na utafiti huu
Source Al Jazeera
Pamoja na vita ndogo ndogo za siblings kati ya tz na Kenya ila nakubaliana na utafiti huu
Source Al Jazeera