Kenya njooni Tanzania mjifunze Kiswahili kizuri

Kenya njooni Tanzania mjifunze Kiswahili kizuri

kahata

Member
Joined
Jan 17, 2021
Posts
88
Reaction score
53
Nasikia nimesikia kuwa kenya kuna kiswahili kuzuri, lakini mbona asilimia 80 ya ninaowasikia kuzungumza naona wanazungumza vibaya na kuandika pia.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Nasikia nimesikia kuwa kenya kuna kiswahili kuzuri, lakini mbona asilimia 80 ya ninaowasikia kuzungumza naona wanazungumza vibaya na kuandika pia.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kahata mbona kama jina la kikenya (kama yule straika wa Simba)

Tukiacha hayo... hebu angalia hizi:

Kiswahili kuzuri = Kiswahili kizuri
Nasikia nimesikia =?

Sasa wewe na wakenya kuna tofauti gani?
 
Labda wanamaanisha kiswahili cha kwenye vitabu.
 
Ni kawaida Watanzania kujidharau. Toka lini Wakenya wakajua Kiswahili fasaha. Kwanza hawakipendi wanapenda Kiingereza,kwao kiswahili ni lugha ya mtaa ni sio maofisini
 
Back
Top Bottom