kahata Member Joined Jan 17, 2021 Posts 88 Reaction score 53 Mar 2, 2021 #1 Nasikia nimesikia kuwa kenya kuna kiswahili kuzuri, lakini mbona asilimia 80 ya ninaowasikia kuzungumza naona wanazungumza vibaya na kuandika pia. Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Nasikia nimesikia kuwa kenya kuna kiswahili kuzuri, lakini mbona asilimia 80 ya ninaowasikia kuzungumza naona wanazungumza vibaya na kuandika pia. Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Mar 2, 2021 #2 kahata said: Nasikia nimesikia kuwa kenya kuna kiswahili kuzuri, lakini mbona asilimia 80 ya ninaowasikia kuzungumza naona wanazungumza vibaya na kuandika pia. Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kahata mbona kama jina la kikenya (kama yule straika wa Simba) Tukiacha hayo... hebu angalia hizi: Kiswahili kuzuri = Kiswahili kizuri Nasikia nimesikia =? Sasa wewe na wakenya kuna tofauti gani?
kahata said: Nasikia nimesikia kuwa kenya kuna kiswahili kuzuri, lakini mbona asilimia 80 ya ninaowasikia kuzungumza naona wanazungumza vibaya na kuandika pia. Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kahata mbona kama jina la kikenya (kama yule straika wa Simba) Tukiacha hayo... hebu angalia hizi: Kiswahili kuzuri = Kiswahili kizuri Nasikia nimesikia =? Sasa wewe na wakenya kuna tofauti gani?
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,586 Reaction score 7,087 Mar 2, 2021 #3 Mombasa mkuu, aliko zaliwa prof mazrui ,ndugu moja na watanga.
Msonjo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2019 Posts 1,356 Reaction score 2,342 Mar 2, 2021 #4 Labda wanamaanisha kiswahili cha kwenye vitabu.
Abby Newton JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 1,252 Reaction score 2,253 Apr 16, 2021 #5 Ni kawaida Watanzania kujidharau. Toka lini Wakenya wakajua Kiswahili fasaha. Kwanza hawakipendi wanapenda Kiingereza,kwao kiswahili ni lugha ya mtaa ni sio maofisini
Ni kawaida Watanzania kujidharau. Toka lini Wakenya wakajua Kiswahili fasaha. Kwanza hawakipendi wanapenda Kiingereza,kwao kiswahili ni lugha ya mtaa ni sio maofisini