AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Kabaridi,
..Kenya ni WAOGA/COWARDS.
..bila Uganda kupeleka askari South Sudan hali ya usalama ingezidi kuwa mbaya.
..Kenyans talk tough on newspapers and blogs, but never follow that up with actions. They are weak na waoga Afrika nzima.
cc Koborer Bukyanagandi, Geza Ulole
I agree with you lakini Kwani hivi sasa ni majeshi wa uganda wangapi washkufa s sudan? sio ishu ya kupeleka majeshi kiholela,
Naipongeza serikali ya Kenya kwa kutopeleka troops huko S. Sudan. Itakuwa vema pia endapo Kenya wataondoa askari wao kule Hergeisa, Kismayu, na Somaliland
mie sina habari hio, lakini kulingana na duru, watasalia hapo sana
hii statement is very unfair, walikuwa wapi wakati magaidi walivamia somalia?
Meanwhile lets stick to the goings on in South Sudan where the US has urged all foreign troops to step out.
I agree with you lakini Kwani hivi sasa ni majeshi wa uganda wangapi washkufa s sudan? sio ishu ya kupeleka majeshi kiholela,
Kabaridi,
..Kenya ni WAOGA/COWARDS.
..bila Uganda kupeleka askari South Sudan hali ya usalama ingezidi kuwa mbaya.
..Kenyans talk tough on newspapers and blogs, but never follow that up with actions. They are weak na waoga Afrika nzima.
cc Koborer Bukyanagandi, Geza Ulole
The way the Al Shabulbs are dealing with KDF in Somalia and general public within Kenya i don't think Kenya can dare to sneak their noses anywhere....it is a big dose to chew!
..majirani wa South Sudan need to be very decisive militarily.
..mkileta mchezo hapo, South Sudan inaweza kuwa kama Congo-Kinshasa, au Central African Republic.
..Kenya mlisaini defence agreement na Uganda, sasa kwanini mnashindwa kuzungumza with one voice kwenye tatizo la usalama la South Sudan?? Uganda wamepeleka askari South Sudan, while Kenya is hiding behind peace negotiations.
..Mimi nadhani kwenye masuala ya ulinzi, usalama, na kijeshi, Kenya can not be trusted.

tena wame-sign this January under COW :A S 13:! Uganda has lost 150 soldiers in SS and Kenya is quiet :baby:..majirani wa South Sudan need to be very decisive militarily.
..mkileta mchezo hapo, South Sudan inaweza kuwa kama Congo-Kinshasa, au Central African Republic.
..Kenya mlisaini defence agreement na Uganda, sasa kwanini mnashindwa kuzungumza with one voice kwenye tatizo la usalama la South Sudan?? Uganda wamepeleka askari South Sudan, while Kenya is hiding behind peace negotiations.
..Mimi nadhani kwenye masuala ya ulinzi, usalama, na kijeshi, Kenya can not be trusted.
tena wame-sign this January under COW :A S 13:! Uganda has lost 150 soldiers in SS and Kenya is quiet :baby:
SS hawakusaini? BTW It was Tanzania that turned down the first draft that did not explain what is to happen if a member state is seeking a help and is proven to be an aggressor :smile-big:Geza,
It is not like the Ugandans themselves have been attacked. It is them who went to South Sudan. It would be different if a foreign force actually invaded Uganda, that way a defense pact will come into play. Ama?
SS hawakusaini? :smile-big:
TPDF too just got involved in DRC just the other day yet fighting there dates back to almost a decade, so why the double standards? DRC is your neighbor too. Am i wrong?
..IMHO, with their handling of South Sudan, I see Kenya repeating the mistakes that Tanzania made in her handling of DRC crisis in 1998.
..we did not support the first SADC military operation that was supposed to shield Kabila Snr frm attack by Rwanda and Uganda.
..tumefanya makosa makubwa sana, and now we are paying a heavy price ya ku-host refugees, and send our troops to DRC to fight rebel groups that were not even there in 1998.
cc Kabaridi, Geza Ulole