Kenya PM's wife rejects state pay

eeeh mungu baba wa rehema mtoa neema ndogondogo na kubwa
nakukabidhi mbele zako mama huyu awe kama mfano kwa wake wote wa viongozi
wa africa:::::::na mungu akutie nguvu usimamie msimamo wako ::::
mungu ibariki tanzania mungu ibariki africa:::
 
Kuna wakati Wabongo tuliambiwa hata mkifa njaa lazima ndege ya raisi inunuliwe, na rada ya mwaka 47 sijui! yaani hata mfe njaa, na huyu mama kama angekewa hajali angesema kwamba hela imepitishwa kihalali na hata watu wangepiga kelele vipii angizichukua tuu, kwa sababu zingekuwa kelele za muda fulani halafu zikaisha.
 
Angalau wenzetu wako wazi. Mishahara ya wakubwa wao iko wazi. Je sisi tunajua mishahara wanayolipwa hao wa kwetu na wake zao? Wote wanastahili pongezi. Serikali kwa kumpa mshahara transparently na yeye kwa ukataa!
 
Hivi dou blv these crap?What she denied is nearly 400,000 Kenyan Money but you can be rest assured she will recieve transfers of more than A million in a month.They are all like that and always wanna be seen as the so called loyal citizens!

Wacha wivu... wewe you are always negative in your attitude...The truth remains that she rejected the offer!!!!
 

And sadly enough the chap still ni mbunge na alikua ndani ya cabinet,kaazi kweli kweli
 
Wacha wivu... wewe you are always negative in your attitude...The truth remains that she rejected the offer!!!!

Do you have anything against me?And do me one favour,Go shopping for gossip and quote all my negative attitudes unazozisemea!
Madcap!
 
Na wewew umezidi bwana.Yaani kila kitu wewe unaonaga ni kibaya tu,kuna watu kumbe wanastahili kuishi sayari yao.


BTW. Hongera mama Odinga.Majua pengine akina Salma Kikwete watamuona Ida kama Mchawi vile.Aibu Tupu,Loh!

Mkuu mbona povu jingi kulikoni? Sasa na mimi nasema hivi wewe umezidi kila kitu unaonaga kizuri!
 
Do you have anything against me?And do me one favour,Go shopping for gossip and quote all my negative attitudes unazozisemea!
Madcap!

No way! your asttitude in this forum sells you out. You display your negativity for everyone else to see. Wewe ndo uende shopping kubwa ya gossip... It seems to me you have plenty of time!!
 
No way! your asttitude in this forum sells you out. You display your negativity for everyone else to see. Wewe ndo uende shopping kubwa ya gossip... It seems to me you have plenty of time!!

I guess you are the one who has plenty of time for that coz how did you come to the conclusion that I display my negativity for every one to see as you put it!
I real got no time for you coz once you argue with a fool you end being a fool urself!
Doug make yourself useful humu JF na siyo kunifuatilia!
Stupid!
 

WHAAAATTTTEEEEVEEEERRRR DUDE!!! Get a life i say!! OR buy one. Kukufuatilia?! hahahaha OMG you wish...NO name calling...only stupid can know stupid!!! Grow up...
 
(Do you support the decision by Mrs Pauline Kalonzo, the VP's wife, to donate her monthly allowance to a charity of her choice?)
Naona Mke wa VP kaamua ku-donate to a charity of her Choice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…