Uhuru ni baba wa demokrasia=By chadema.Nimesikia wameua mtoto wa shule muda si mrefu uliopita.
East Africa ni hovyo wote wanafanana!! Uhuru kabadilisha katiba kufurahisha nafsi yakeUhuru ni baba wa demokrasia=By chadema.
Nimesikia wameua mtoto wa shule muda si mrefu uliopita.
Nini Kifanyike ili Baraza liwe na nguvyu ya kuokoa hali kama hii inayopoteza maisha ya watu wetu?Shida ya EAC ni unafki wa kutotaka kuingiliwa hata kama huwezi kuweka hali sawa!! Najivunia sana West Africa (ECOWAS) kiongozi hawezi kungangania mambo ya kishenzi. Lakini maziwa makuu ni kinyaa wanabadilisha sheria na katiba ili kufurahisha nafsi zao.
Hawawezi, hawana nia njema madarakani !!Nini Kifanyike ili Baraza liwe na nguvyu ya kuokoa hali kama hii inayopoteza maisha ya watu wetu?
You dont know Kenya. The will of the people of Kenya is Uhuru Muigai Kenyatta to be president for the next five years. The will of those shouting the most and those who like jumping all over the place is for Kenyans to spill their fellow countrymen's blood.ASAP Kenyata will be attending the Court of Genocide at The Hague . Every thing is clear!!! Kenyata please respect the Will of Your fellow Kenyans!!!! That's all they need from you!!!! New members in your electoral commission!!! Ova!!![emoji40]