Kenya: Police officer kills wife before committing suicide

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Afisa wa Polisi huko Njoro, Kaunti ya Nakuru amempiga risasi mke wake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kugombana na kisha kujipiga na yeye

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Nakuru, Hassan Barua tukio hilo limetokea leo Novemba 06, nyumbani kwa Wanandoa hao

Aidha, inadaiwa kuwa Polisi huyu wa miaka 27 aliyekuwa anafanya kazi katika kituo cha Piave alikuwa amelewa kabla ya kuanza kugombana na mkewe

Mmoja wa Majirani ameleza kuwa Polisi huyo alikuwa ni mpenda amani na wala kulikuwa hakuna ishara yoyote ya kutokuelewana kwenye ndoa yao
=======

Police officer in Njoro, Nakuru County on Tuesday shot his wife dead after a domestic dispute before turning the gun on himself and committing suicide.

According to the Nakuru Police Commandant Hassan Barua, the couple was inside their home before the incident.

It is further alleged that the 27-year-old police officer, attached to Piave police station, was drunk before a disagreement ensued between the two leading to the shooting.

Speaking to Citizen Digtal, one of the neighbours, who claims to know the officer, said he was a peaceful person and that there was no indication of a marital problem.

“I heard the news early in the morning and upon arrival there was commotion,a lot of people had gathered to witness the shocking incident,” said the neighbour.
 
pombe (Yaani ulevi) ni mama wa maasi
Jihadhari Sana Na ulevi wala usidanganyike ati kunywa kistaarabu
Bora pesa yako kunywa juice
Ona sasa kaua usingizi sijui atalalaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…