Hizi taarifa zimeniuma kishenzi, yaani hawa polisi waoga kama kuku. Mtu ametoroka jela, ina maana hana bunduki, sasa wewe unapiga piga risasi ovyo ili iweje. Pumbavu ameishia kumpiga msichana mdogo risasi.