KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017


You don't understand.
Raila and Nasa have withdrawn. They don't want an election to take place.
 
10 Oktoba 2017
Mshirikishe mwenzako
Image caption
Raila Odinga ajiondoa kwenye uchaguzi mkuu Kenya
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mwezi hu.
Bwana Odinga anasema anataka kufanyika uchaguzi mpya jinsi ilivyoamuliwa na mahakama ya juu
Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.
 
Siasa kitu cha ajabu sana.

All the best Kenyans..!
 
Raila Odinga ajiondoa kugombea urais wa Kenya, kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 26, 2017
 

Attachments

  • nasa.jpg
    64.5 KB · Views: 42

Kwa hiyo ulitaka Wapinzani wasishiriki chaguzi zote mpaka kuwe na tume huru..? Kama unajua mfumo ulivyo wa sisiemu hapa, kungekuwa na possibility yeyote ya sisiemu kubadili muundo wa uchaguzi, simply kwa sababu wapinzani wamesusia uchaguzi..?
Halafu kumbuka Raila anayafanya haya chini ya katiba mpya ya Kenya, maana wengi wanamshangaa na kumuona anataka kuleta sintofahamu kwenye siasa na maisha ya wakenya..
 
Kwa hiyo Maraga alijaza maji kwenye gunia. It's the 4th time for Raila ni mgombea wa presidency. Anaiga tabia za SLAA... Nawashauri NASA watafute contestant mwingine.... Hamuoni idadi kubwa ya wakenya wanaowakuabali? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pressure ya huu uchaguzi inapanda kila kukicha. UHURUTO wanafurahia muda wa nyongeza wa kutawala.
 
Kama ni kweli nadhani ni uamuzi sahihi,marekebisho yanatakiwa yaanzie kwenye hiki kitu kilichokua designated kinachoitwa 'Tume'.hii tume inatakiwa ikubalike pande zote mbili
 
Bora amejitoa mapema ameshasoma alama za nyakati akaona uwezekano wa kushinda hamna tena.Tume ya uchaguzi ipo huru tofauti kabisa hii kwetu ambayo wateule wake wanateuliwa na Raisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…