Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Sina mapenzi na hiyo CCM, lakini sidhani kama lengo letu la msingi ni kuitoa CCM madarakani,
Lengo letu ni kupata viongozi bora, regardless vyama wanavyotoka.
Mi nachojua mbona maisha ya kenya magumu sana hata kula mara tatu ni ngumu huo utajir ni upi wakati mnapepo la njaa
The weathiest country in Africa is Congo $24trillion dollars in natural resources closely followed by Angola, libya, SA and Tz
Mi nachojua mbona maisha ya kenya magumu sana hata kula mara tatu ni ngumu huo utajir ni upi wakati mnapepo la njaa
kweli kabisa hiyo thread ifutwe,irudishwe 2050Naona JF kuna mlinganisho wa Nairobi na Dar es salaam !!! Labda tuanze kulinganisha 2025 !