Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,164
Acheni woga, huwezi kujua kina cha maji bila kutia mguu wako.
Umri wa babangu unanijua nina umri gani?, hakuna mtanzania mwenye Tabia za Kinyang'au za kushabikia ujinga wa Wakenya na Wazungu wao kama unavyofanya wewe,Sio Mkenya mm, ni mtanzania wa umri wa babako.
Mkuu vipi? Mbona umeivalia kibwaya hii issue! Acha Watanzani tufe na umasikini wetu. Hao wazungu wako wametupiga sana na mikataba ya Mangungu. Hatuna hamu nao.Symbion na ndugu zake wanaendelea kutupiga ,IPTL, AGREKO,GAS , MADINI.
Ngoja kwanza tuvute pumzi.
Lazma Kuna Mungiki anakupumulia wewe...Sio Mkenya mm, ni mtanzania wa umri wa babako.
Umri wa babangu unanijua nina umri gani?, h akuna mtanzania mwenye Tabia za Kinyang'au za kushabikia ujinga wa Wakenya na Wazungu wao kama unavyofanya wewe,
Kenya siku zote anakuwa mnyenyekevu na kupiga magoti akitaka kitu cha faida kutoka kwako, sisi bado hatuna cha kuuza Europe zaidi ya Madini ambayo yanajiuza yenyewe, tukishakuwa tayari tutawaita hao wakenya waje na wazungu wao tupige kazi
Ss hatupo interested, kwnn mnatupush sana tusain? Kwan hamuwez waambia EU wakaendelea na rwanda na nyinyi tuu..!Which benefits that does not befit Tanzania.
Ndio unataka kusema nini? Sijakuelewa hapoUlishawahi kusikia kampuni ya De bers ya South Africa? De Beers Group Unaijua kampuni ya Tanzania Royalty Exploration Corporation ya Canada? Tanzanian Royalty Exploration Corporation
Kama una umri huo basi wafaa kuhurumiwa. Upo very brainwashed.Sio Mkenya mm, ni mtanzania wa umri wa babako.
Kama una umri huo basi wafaa kuhurumiwa. Upo very brainwashed.
Hapa inaitajika I'd yako tuipeleke kwa gwajima uombewe uwe muelewa maana umeshaambiwa wabongo sie hatutaki kama wewe una misuli ya kuuza ulaya bas ungana nao maana naona biashara za kupeleka shanga ulaya siku hizi zimekua nazo za kwenda kushindanisha na makampuni ya simu, magari nk hata viwanda vyenyewe havitoshelezi soko LA hapo ndani. Sasa wazungu wanawaitaji maana wanazalisha above demand za nchi zao kwa hvyo wanaitaji masoko.Nini? Waliokuwa brainwashed ni hao viongozi wenu vipofu wasiojua ni nini kipaumbele cha watatnzania. Mnaonyeshwa njia ya kutoka kwenye ujima nyie mna n'gan'gania huko. wake up guys the world is moving fast, achana na biashara ya China, mnaletewa taka za baadae muda si mrefu.