Kenya recalls envoy to Somalia

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
February 16, 2019
Nairobi, Kenya

KENYA RECALLS its ambassador to Somalia, orders Somali envoy back to his country. Government of Kenya says Somalia auctioned oil and gas blocks in its territory. Source : www.nation.co.ke

Mzozo kuhusiana na mipaka ya baharini ambayo mataifa ya Kenya na Somalia yanapigania bahari ya Hindi umefanya Kenya kuamua kumrejesha nyumbani balozi wake kutoka Mogadishu mara moja.

Katika taarifa ya hivi punde, wizara ya maswala ya kigeni imemtaka Luteni Jenerali mstaafu Lucas Tumbo kurejea Nairobi kutokana na yaliyojiri jijini London Uingereza tarehe saba mwezi huu, wakati serikali ya Somalia ilipofanya uamuzi wa kuweka mnadani rasilimali za mafuta na gesi ambazo zimo kwenye himaya ya Kenya.
Source : NTV Kenya
 
February 14, 2019

The Somali government says it will award exploration licenses to foreign oil companies later this year, despite calls from the opposition to wait until laws and regulations governing the oil sector are in place.

Seismic surveys conducted by two British companies, Soma Oil & Gas and Spectrum Geo, suggest that Somalia has promising oil reserves along the Indian Ocean coast, between the cities of Garad and Kismayo. Total offshore deposits could be as high as 100 billion barrels.

The government says it will accept bids for exploration licenses on November 7, and the winners will be informed immediately. It says production-sharing agreements will be signed on December 9, with the agreements going into effect on January 1, 2020.

“We have presented our wealth and resources to the companies,” Petroleum Minister Abdirashid Mohamed Ahmed told the VOA Somali program Investigative Dossier. “We held a roadshow in London [last week], and we will hold two more in two major cities so that we turn the eyes of the world to contest Somalia.”
Source : https://citizentv.co.ke/news/somalia-readies-oil-exploration-still-working-petroleum-law-231410/
 
This issue will bring about maritime border issues un-foreseen...because if we draw the border the way Somalia wants - diagonal southwards following the land border, then Pemba Island will be in Kenyan territory... fucked up shit. Magufuli will be boiling with range..
The borders should be drawn horizontal straight across,
 

Nations go to war to win borders.,.. or you pay cash to settle the dispute. Which one you choose,?
 
I think the mighty government of Kenya has been sleeping since Moi and Kibaki left. How is Somalia dominating us?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya mzozo midogo tu wa Somali unawashinda,ndio mje mjiingize kwny mziki wa Congo.

Mtapigwa mchana kweupe.
 
Hawa Wasomali washawaona Wakenya ni mazoba,,kiukweli huu mpaka wanaulazimisha,na kwa fukuto la mzozo huu Bandari ya LAMU inaenda kuwa Tembo wa Bluu

Kazi kwenu majirani.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majirani watatolea stress uzi huu naona washafika wengine wanasema Congo itatushinda, wengine furaha tukipatwa na majanga au migogoro ila nitawaambia kuwa mtazidi kuisoma namba.
Uzi ule wa BRITAM TOWERS kuongoza baara AFRICA huwezi kumuona bagamoyo kisa wivu tu.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]na unajua fika ni mnara ndio unasumbua,lakini unajitoa akili.

Bahari inabebwa huko wewe uko busy na britam kuongoza.
 
mkorinto nilijua hutachelewa. Kama kawaida kakinuka kwetu tunachukua pemba yenu kwa hivyo usiombe Kenya ilemewe na Somalia.
 
Nilikuwa nasema sababu kuu ya uwepo wa majeshi ya Kenya ndani ya Somalia ni mafuta. Wamefanya kila njia kuisimika serikali ya Kisomali waliyoiasisi Nairobi. Walifikiri kwa kuwaweka vibaraka wao Mogadishu basi watawachezesha Wasomali kama vikaragosi!

Wamekutana na warriors wapenda mali, sasa wataipatapata.

Serikali waliyoisimika itaungana na wapigania Uhuru wanaowaita Al Shabab na kuanzisha songombingo jipya.

Tutegemee makambi ya jeshi la Kenya yaliyopo ndani ya Somalia kubondwa na tutegemee Wasomali zaidi ya 20% raia wa Kenya kuungana na Wasomali wenzao kuishambulia Kenya ndani ya Kenya.

Niliwaambia Wakenya mara kadhaa humu humu JF, ni heri wangekaa chini na wanaowaita Al Shabab wasikilizane, saa hizi wangekuwa na pakutokea. Sasa masikini Kenya "mambo yamekuwa mambo kushinda mambo yenyewe" (masharti ya Juma Bhalo wa Mombasa Kenya).

Hazidishiwi mwenye kudhulumu isipokuwa hasara.
 

Kwanini waislamu mnarengwa kuonewa wakati wote??mna tatizo gani??
 
tracebongo kama kuna Nchi rahisi kuchapa ni tz wanaume wa kukatakatwa kwa mipanga na huku wamejiami kwa latest state of the art guns. Nyie kitu mnaweza ni vita za mdomo.
 
Tutawaachia mchukue pemba,ili tupate sababu ya na kuikwapua rasmi mombasa.

Idi amin naye alijichanganya akajikuta ameitumbukiza uganda kwenye balaa.
Sometimes use logic my friend, sasa kama Pemba itakuja Kenya we utaichukua vipi Mombasa?the question here is maritime boundary, what claim do you have over Mombasa? Pili Mombasa haipo mpakani na Tanzania,mtaichukua vipi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini waislamu mnarengwa kuonewa wakati wote??mna tatizo gani??
Tatizo lako unawaibia Somalia nchi kavu huko Wajir na unawaka vibaraka wako Mogadishu ukidhani utawaibia na baharini.

Wamekustukia.

Kumbuka hao watakao kuja kununua hizo rights za kuchimba mafuta watakuwa ni Haohao wanaowachonganisha.

Ulianza kuua Waislam wa Mombasa kwa uoga wako tu kwa kuwa unauwa Waislam wenzao huko Somalia na Waislam walipoanza kukwambia ukweli ukawaua kwa vitisho. Ukidhani unatatua tatizo kumbe ndiyo unalikuza.

Kumbuka dhambi ya kudhulumu haitakuwacha salama. Na mambo ndiyo kama uonavyo mmekuwa akina Frankenstein mmejitengenezea jidudu la kuwamaliza wenyewe.
 
Kiboko ya Kenya alikuwa yule Mjeda Barre
Huyo alikuwa anamtia jambajamba sana Rais wao wa zamani
Yaani walikuwa wanaiogopa sana Somalia ya wakati ule.
Hata hivyo pamoja na kuihujumu na kuingiza mamluki wao na serikali iliyozaliwa Nairobi lakini hawa jamaa hawayumbishwi na wanajua namna ya kuzitafuta

Kaeni mbali na Somalia maana hata Saudia alihonga sana ili mafuta yasichimbwe Somalia kwa hiyana ili auze yake tu.
Hili wengi walikuwa wanafikiria ni uongo au habari za kutunga lakini ukweli unaonekana sasa.

Kenya mziki wa Somalia hawawezi kuucheza maana Wariya mmoja anapambana na wa K kumi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…