Kenya sasa bampa kwa bampa, wakitoa mguu tunaweka!

elbarik, which Lamu port that Ethiopia refused to hav signed a pipeline deal the other day? Keep dreaming...
This ship shows the commitment of Kenya in construction of its own ports such as Lamu and, also in transportation of heavy equipments and, training local seafareres.
 
 
Tanzania Small economy haezitoboa kupita kenya .uchumi duni sana .una mtu ananunu simu ati elfu mia nne kwani unanua gari bure kabisa tengenezeni uchumi wenu kwanza ndio muanze kufikiria kuipita kenya .baf nyinyu
Ndg zetu mpo mbele kiuchumi maana tulipitia kwenye ujamaa
na Mwl wetu JK Nyerere, aliyetuletea umoja undugu na mshikamano mnaouona kwa sasa!!
Baada ya uhuru hakukimbilia kuiba na kudhurumu mali za Watanzania!!
Matokeo yake ndio tinatokeza kwa mbinu mpya nzuri ya maendeleo sio wizi na kusifia maendeleo ya wachache wakati umati ukitopea kwenye lindi la umasikini!!
Mwelekeo wa uchumi wa TZd ni mzuri kunufaisha taifa zima,
tunapaa kwenda mbele na haturudi nyuma!!
 
Kenya iko mbali kimaendeleo..

Hii mentality ya 'adui mwombee njaa' sio sahihi

dawa ni kuiga yale yaliyo mazuri kutoka kwao na kuyaboresha.

kupitana kimaendeleo sio issue, tija ni kuwa na maisha yaliyo bora kwa mtanzania wa kawaida na vizazi vijavyo
 
pipeline deal to ug- taken
sgr deal to ug - taken
if am not mistaken, under c.o.w those "were" the anchor projects.
some deep soul searching needs to be done...hmmmmhh.
 
Kujilinganisha na wakenya ni kukaribisha ligi isiyo na msingi.
 
tanzania briefly had a bigger economy than kenya in the 1980s
LOL! The economy of Tz in the 80s was practically.....dead. A sad fact that caused Nyerere to resign, admitting failure on his part.
 
Kwani ni nani anarudi nyuma kila mmoja anapaa kuende mbele
 
yeah at one time kenya ilikopesha South Korea 1milliin dollars (ama ilikua msaada?)... kwasababu walikua maskini, sasa comparing the two is a big joke, sasa they are the ones building 100million dollar university as investors in our country to tranfwr us their technology while we still have a problem collecting and disposing garbage
 
Mmnh, I see. By when do you project this dream to happen.
 

πŸ˜€πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜±...........word!!!!
 
This is a dumb thread. Kwanza inakiri kuwa Tanzania iko nyuma ya Kenya kwa maendeleo halafu inaonesha kuwa hatuna malengo kama nchi zaidi ya kuiga wanachofanya Kenya. Yaani wao wanatangulia halafu sisi tuhafuata nyayo walizopitia wao. Maana yake ni kuwa hatutakaa tuwafikie kiuchumi milele kwani tunasubiri wakanyage nyayo ili tupate pa kupita.
 
October 2016 came and passed, and in Dec 2017, Ethiopia decided to cancel the whole pipeline project because their SGR was under threat of missing out crusial business....


Backed by the US investment group Black Stone, Black Rhino has undertaken a feasibility study on the project, which was going to be the first fuel pipeline in Ethiopia.
A senior official at the Ministry of Transport told The Reporter that the government has canceled the project due to financial reasons. The official said though the pipeline project is viable, the government wants to protect the Ethiopian Railway Corporation which will soon start transporting petroleum products. β€œWe have built a new railway line to Djibouti with an investment cost of four billion dollars. And 100 fuel tanker wagons are ready to transport fuel from Djibouti. We have to maximize the use of the railway and pay back the loan to the Export Import (EXIM) Bank of China first,” the official said.
Gov. cancels planned Ethio-Djibouti oil pipeline project | The Reporter Ethiopia English
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…