Kenya sasa ina kila sababu za kukamilisha kipande cha SGR kilichosalia maana Uganda wameamua kujenga SGR 2,700km

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kenya ilikua imesitisha kukamilisha kipande kidogo kilichokua kimesalia cha kuunga hadi Uganda baada ya hao Waganda kutoonyesha "seriousness" kwenye hili la SGR, ila sasa wao wamesaka mkopo wenyewe na tayari wameanza mipango na mikakati ya ujenzi, kwa vile tulikua tumekamilisha asilimia kubwa (600km) na ilikua imesalia kipande kidogo sana, tuna kila sababu za kuhitimisha.

Safi sana.

Hivi kuna mwenye habari za kale kasafu ka Tz, 200km Dar-Moro maana nakumbuka mwaka jana walikusudia kuwa wamekamilisha na kanatumika, leo tunavuka mwaka mwingine sijui wamekwama wapi huko maporini bado wanachimba.

===========

Uganda will build its standard gauge railway even if Kenya fails to extend its line to Malaba, officials say. Construction of the long-delayed SGR will now start in the 2022/2023 fiscal year even as the connection with Kenya remains a sticking point.

The country’s 271-kilometre-long SGR was part of the Northern Corridor Infrastructure project linking Kenya, Uganda and Rwanda, but has stalled amid political and financial uncertainty. In all, Uganda is now looking at building 2,700km of SGR with connections to its northern, eastern, southern and western neighbours.

Perez Wamburu, the SGR project co-ordinator, said the prospects of closing a financing deal with China Exim Bank in the coming months are high. He was speaking during a recent end of year briefing for a section of Ugandan media. The parties had narrowed the number of outstanding queries from 27 when the Ministry of Finance reapplied for funding in October 2019, to just three today, he added.

One of the major outstanding issues is the connection with Kenya, which came into doubt after Nairobi paused its SGR development in Naivasha, opting instead to revamp the century old metre-gauge to Kisumu, where it is building a railway cargo transhipment facility. The second query concerns the operations plan for the network and finally, the loan repayment plan.

“I think we have answered all those queries satisfactorily and conclusive talks should start soon after the elections in 2021. The viability of the line under different scenarios remains positive and a Chinese company will operate the network for the duration of the loan repayment period before handing over the assets to Uganda,” Mr Wamburu said.

One of the scenarios Uganda has considered is the viability of the line without a direct interface with the Kenyan system, with the cargo instead being ferried on water to a facility to be developed in Majanji on Lake Victoria. That would allow cargo from South Sudan and North Eastern DR Congo to be shipped to either Mombasa through Kisumu or onward to Dar es Salaam through Mwanza. Another scenario sees Kenya eventually bringing its line all the way to Malaba, while the other one is a hanging line running from Kampala to Malaba.

Mr Wamburu said a direct interface with the Kenyan SGR would be the better option, but the line would still have a positive rate of return under all scenario’s albeit with varying margins. The project is also debt-neutral at this point because the contract fee of $2.26 billion for the first phase is already accounted for under existing stock of $15.5 billion of national debt stock. The decision to proceed with construction is premised on the thinking that by the end of the projected construction period, Kenya would have resolved whatever issues are holding up the extension of its SGR to Malaba. Preconstruction activities continue and at least 120km of the 271km corridor has been secure with 4,800 projected affected persons compensated so far.

“We shall be sitting with Kenya and China Exim to bring clarity to issues of the interconnection but everybody is still committed to this project,” Mr Wamburu said.

========

(1) The SGR War: Wakati Kenya Wakisusua, Uganda Wameamua Kujenga SGR. Hii ni Fursa kwa SGR ya Tanzania!, Is It Viable?, Tuichangamkie?. | JamiiForums
 
Hahaha, kama kawaida yenu kutokubali kukubali mapungufu yenu, tatizo sio Uganda, SGR yenu haitoweza kulipa deni ndio sababu China imekataa kutoa pesa, "Not economically viable"
 
Binafsi kitu ambacho sijaelewa mpaka leo hii kuhusu Afrika (Tanzania, Ke, na hata Uganda na wengineo), kwa nini wanajenga reli kukidhi haja ya nchi nyingine ? I mean, lengo KUU la nchi kujenga reli linapaswa kuwa nchi yenyewe kwanza halafu nchi jirani huwa inakuwa ni extra tu, lkn HITAJI KUU ni ndani ya nchi, sasa ukiangalia Tanzania kama Kenya ni hivyo hivyo wote wanagombania reli ihudumie nchi jirani, kwa nini ? Au hakuna cha kusafirisha nchini mwenu ? Na kama ni hivyo yaani hakuna cha kusafirisha ni bora hizo fedha za kujengea mpeleke kwingine kwani hiyo ni white elephant project.

Fikiria watu wanajadili kufikisha Reli Kongo au sijui Rwanda na Uganda why ? Kwa Tanzania tulipaswa tujenge Reli kuunganisha Migodi yetu ya madini na Bandari, mfano hakuna connection ya reli kati ya coal mining na Bandari, leo hii coal tunasafirisha kwa lori halafu watu wanahangaika kupoteza mabilioni kuunganisha nchi yetu na Rwanda au sijui Uganda, kwa nini ? Binafsi naona ni bora hizo fedha Serikali ingejenga Reli ya ndani mfano kuunganisha eneo la Ziwa Nyasa na Bandari ya Mtwara, Mtwara corridor hilo eneo lina coal nyingi ambayo tunaweza kuisafirisha kwa treni mpaka Bandarini Mtwara for export, haya mambo ya kuwafikishia SGR Uganda au Burundi kwangu mimi siyo clever .

Badala ya kuhangaika na nchi nyingine tujenge hi Reli nchini mwetu Ziwa Nyasa -Mtwara, hao Rwanda Uganda wakitaka kuunganisha na nchi yetu tunaweza kuongea kugawana gharama lkn lisiswe lengo la sisi kujenga Reli ya Mabilioni.

Mtwara Corridor
1609056058399.png
 
Eti Kenya imesitisha 😂😂😂😂😂

Mna hata jeuri ya kusitisha msaada wa chakula ije iwe SGR?

Mna hata cent yenu kwenye huo mradi mpate guts za kusitisha?

Ila we jamaa ni kubwa jinga, sijui unafikiri unamdanganya nani hapa! 😂😂😂😂

Way to DRC 🕺🕺🕺🏌️‍♂️🤸‍♂️
Port inakwenda kwa kasi hatari

Ebz-noCWoAA5587.jpg
EqOdFJWXUAEnKcx.jpg
EqOdE-zXIAUiZw0.jpg
EqOdEWxXAAAG8iq.jpg

Binafsi kitu ambacho sijaelewa mpaka leo hii kuhusu Afrika (Tanzania, Ke, na hata Uganda na wengineo), kwa nini wanajenga reli kukidhi haja ya nchi nyingine ? I mean, lengo KUU la nchi kujenga reli linapaswa kuwa nchi yenyewe kwanza halafu nchi jirani huwa inakuwa ni extra tu, lkn HITAJI KUU ni ndani ya nchi, sasa ukiangalia Tanzania kama Kenya ni hivyo hivyo wote wanagombania reli ihudumie nchi jirani, kwa nini ? Au hakuna cha kusafirisha nchini mwenu ? Na kama ni hivyo yaani hakuna cha kusafirisha ni bora hizo fedha za kujengea mpeleke kwingine kwani hiyo ni white elephant project.

Fikiria watu wanajadili kufikisha Reli Kongo au sijui Rwanda na Uganda why ? Kwa Tanzania tulipaswa tujenge Reli kuunganisha Migodi yetu ya madini na Bandari, mfano hakuna connection ya reli kati ya coal mining na Bandari, leo hii coal tunasafirisha kwa lori halafu watu wanahangaika kupoteza mabilioni kuunganisha nchi yetu na Rwanda au sijui Uganda, kwa nini ? Binafsi naona ni bora hizo fedha Serikali ingejenga Reli ya ndani mfano kuunganisha eneo la Ziwa Nyasa na Bandari ya Mtwara, Mtwara corridor hilo eneo lina coal nyingi ambayo tunaweza kuisafirisha kwa treni mpaka Bandarini Mtwara for export, haya mambo ya kuwafikishia SGR Uganda au Burundi kwangu mimi siyo clever .

Badala ya kuhangaika na nchi nyingine tujenge hi Reli nchini mwetu Ziwa Nyasa -Mtwara, hao Rwanda Uganda wakitaka kuunganisha na nchi yetu tunaweza kuongea kugawana gharama lkn lisiswe lengo la sisi kujenga Reli ya Mabilioni.

Mtwara Corridor
View attachment 1660161

Umehoji maswali ya msingi sana yaliyopaswa kujibiwa na watawala wa nchi yako maana nyie huko mnakurupuka kushindana na Kenya bila kuwaza kwamba kwenu huko ndani mlipaswa kuwa na mikakati tofauti na sisi. Nyie nchi yenu kubwa mithili ya uunganishe Kenya, Rwanda na Uganda. Halafu nchi yote hiyo mna rotuba nzuri kila mahali, madini ya kumwaga, hivyo mna uwezo wa kufanya yenu ndani kwa ndani bila kuangalia au kutegemea nje. Mkiunganisha vizuri usafiri wa ndani mtajishosheleza.

Sisi huku kainchi kadogo na zaidi nusu yake ni kame tupu, hivyo lazima siku zote tusake kuunganisha baina yetu na mataifa mengine kama Uganda vile. Japo pia tumejituma sana kwenye viwanda, maana kwamba SGR yetu inatuhudumia pakubwa ndani kwa ndani kabla kuwaza soko la nje.

Tulikua tumesitisha kipande kidogo kilichokua kimesalia baada ya kuona Uganda wanasuasua, hapakua na tija ya kutumia hela nyingi kama hawangeonyesha wako serious, ila sasa tuna kila sababu za kuunganisha. Halafu nimefurahi sana kuona Uganda wana mpango wa kuunga Sudan Kusini, hapo ni wazi Kaskazini yetu itang'aa maana pia Kusini mwa Ethiopia walishaonyesha nia ya kuegemea upande wa bandari yetu ya Lamu, ikumbukwe idadi ya Waethiopia wanaoishi Kusini ni milioni hamsini....
 
Binafsi kitu ambacho sijaelewa mpaka leo hii kuhusu Afrika (Tanzania, Ke, na hata Uganda na wengineo), kwa nini wanajenga reli kukidhi haja ya nchi nyingine ? I mean, lengo KUU la nchi kujenga reli linapaswa kuwa nchi yenyewe kwanza halafu nchi jirani huwa inakuwa ni extra tu, lkn HITAJI KUU ni ndani ya nchi, sasa ukiangalia Tanzania kama Kenya ni hivyo hivyo wote wanagombania reli ihudumie nchi jirani, kwa nini ? Au hakuna cha kusafirisha nchini mwenu ? Na kama ni hivyo yaani hakuna cha kusafirisha ni bora hizo fedha za kujengea mpeleke kwingine kwani hiyo ni white elephant project.

Fikiria watu wanajadili kufikisha Reli Kongo au sijui Rwanda na Uganda why ? Kwa Tanzania tulipaswa tujenge Reli kuunganisha Migodi yetu ya madini na Bandari, mfano hakuna connection ya reli kati ya coal mining na Bandari, leo hii coal tunasafirisha kwa lori halafu watu wanahangaika kupoteza mabilioni kuunganisha nchi yetu na Rwanda au sijui Uganda, kwa nini ? Binafsi naona ni bora hizo fedha Serikali ingejenga Reli ya ndani mfano kuunganisha eneo la Ziwa Nyasa na Bandari ya Mtwara, Mtwara corridor hilo eneo lina coal nyingi ambayo tunaweza kuisafirisha kwa treni mpaka Bandarini Mtwara for export, haya mambo ya kuwafikishia SGR Uganda au Burundi kwangu mimi siyo clever .

Badala ya kuhangaika na nchi nyingine tujenge hi Reli nchini mwetu Ziwa Nyasa -Mtwara, hao Rwanda Uganda wakitaka kuunganisha na nchi yetu tunaweza kuongea kugawana gharama lkn lisiswe lengo la sisi kujenga Reli ya Mabilioni.

Mtwara Corridor
View attachment 1660161
Hakuna nchi yoyote hapa Afrika yenye resources za kujitosheleza kwa kipindi cha miaka 100 na zaidi zenye kuhitaji kujengewa reli yake pekee, hizo resources unazozisema haziwezi kudumu zaidi ya miaka 30, pia hakuna gerentii yoyote kama matumizi ya mikaa ya mawe yataendelea kutumiaka duniani kwa zaidi ya miaka 20 toka sasa hivi.

Reli ni mradi inaotumia pesa nyingi sana, na kawaida unadumu miaka mingi sana, lazima kuhakikisha kwamba kutakuwepo kwa mzigo wa kutosha kwa kipindi chote cha miaka 100 na zaidi, ili kujihakikishia hilo, ndio sababu lazima reli kuhudumia nchi nyingi kadr iwezekanavyo, hasa nchi zenye madini mazito.
 
Labda nikuulize, kwa nini Reli ya TAZARA imekufa au niseme labda inatumika chini ya kiwango ? Sababu ni hiyo, niliyoitaja haikujengwa kwa ajili ya matumizi ya ndani ya Tanzania bali ilijengwa kwa ajili ya kusafirisha shaba ya Zambia, hiyo ndiyo iliyokuwa sababu pekee, sasa Shaba ya Zambia inapita kwingine reli haina matumizi, lkn hii Reli inapita kwenye Mikoa muhimu sana ya Tanzania kama Mbeya, Iringa, Morogoro na Pwani sasa kwa nini ife ? Kwa nini ikose cha kusafirisha ?

Reli haijengwi tu bila ya plan, Makaa ya mawe hata yakija kuisha tuseme labda ichukuwe miaka 20 kama kukiwa na reli itakuwa imenufaika sana na kuidiversify hilo eneo litakuwa limekuwa kiuchumi kutakuwa na viwanda ambavyo vitahitaji reli kwa export/import kutumia Bandari ya Mtwara.

Kwangu mimi bora hata reli yetu ipelekwe kwanza Migodini kama Buzwagi, North Mara na kwingineko ili hii mizigo yao yote watumie reli yetu kuliko kuhangaika kujenga reli kwa matumizi ya nchi nyingine, ...
 
Kaka unachekesha sana, eti Buzwagi, tangu lini dhahabu ikasafirishwa kwa reli?, kwa mwaka mzima uzalishaji wa dhahabu Tanzania nzima hatijafikisha hata tani 300, unataka tujenge reli kwenda kubeba tani 200 kwa mwaka mzima?, kuongoza nchi sio rahisi kama unavyofikiria, waulize wakenya jinsi miradi yao inavyoishia kuwa ndovu weupe kwa kutojua nini wanachohitaji.

Hivi nani aliyekuambia kwamba TAZARA imekufa?, inaendelea kufanya kazi, tatizo lilikua ni uongozi kama vilivyozorota viwanda na mashirika ya Umma, mbona husemi kuhusu reli ya Dar- Arusha ambayo ni reli ya ndani ya nchi lakini ilikufa kwa zaidi ya miaka 30?.
 
Binafsi kitu ambacho sijaelewa mpaka leo hii kuhusu Afrika (Tanzania, Ke, na hata Uganda na wengineo), kwa nini wanajenga reli kukidhi haja ya nchi nyingine ? I mean, lengo KUU la nchi kujenga reli linapaswa kuwa nchi yenyewe kwanza halafu nchi jirani huwa inakuwa ni extra tu, lkn HITAJI KUU ni ndani ya nchi, sasa ukiangalia Tanzania kama Kenya ni hivyo hivyo wote wanagombania reli ihudumie nchi jirani, kwa nini ? Au hakuna cha kusafirisha nchini mwenu ? Na kama ni hivyo yaani hakuna cha kusafirisha ni bora hizo fedha za kujengea mpeleke kwingine kwani hiyo ni white elephant project.

Fikiria watu wanajadili kufikisha Reli Kongo au sijui Rwanda na Uganda why ? Kwa Tanzania tulipaswa tujenge Reli kuunganisha Migodi yetu ya madini na Bandari, mfano hakuna connection ya reli kati ya coal mining na Bandari, leo hii coal tunasafirisha kwa lori halafu watu wanahangaika kupoteza mabilioni kuunganisha nchi yetu na Rwanda au sijui Uganda, kwa nini ? Binafsi naona ni bora hizo fedha Serikali ingejenga Reli ya ndani mfano kuunganisha eneo la Ziwa Nyasa na Bandari ya Mtwara, Mtwara corridor hilo eneo lina coal nyingi ambayo tunaweza kuisafirisha kwa treni mpaka Bandarini Mtwara for export, haya mambo ya kuwafikishia SGR Uganda au Burundi kwangu mimi siyo clever .

Badala ya kuhangaika na nchi nyingine tujenge hi Reli nchini mwetu Ziwa Nyasa -Mtwara, hao Rwanda Uganda wakitaka kuunganisha na nchi yetu tunaweza kuongea kugawana gharama lkn lisiswe lengo la sisi kujenga Reli ya Mabilioni.

Mtwara Corridor
View attachment 1660161
Reli lazma ijilipe na soko la Uganda tayari lime-integrate nasi! economist wangekuwa na upembenuzi shallow kama wako nadhani hamna mradi ungefanikiwa!
 
Kaka unachekesha sana, eti Buzwagi, tangu lini dhahabu ikasafirishwa kwa reli?, kwa mwaka mzima uzalishaji wa dhahabu Tanzania nzima hatijafikisha hata tani 300, unataka tujenge reli kwenda kubeba tani 200 kwa mwaka mzima?, kuongoza nchi sio rahisi kama unavyofikiria, waulize wakenya jinsi miradi yao inavyoishia kuwa ndovu weupe kwa kutojua nini wanachohitaji.

Hivi nani aliyekuambia kwamba TAZARA imekufa?, inaendelea kufanya kazi, tatizo lilikua ni uongozi kama vilivyozorota viwanda na mashirika ya Umma, mbona husemi kuhusu reli ya Dar- Arusha ambayo ni reli ya ndani ya nchi lakini ilikufa kwa zaidi ya miaka 30?.

Unajua kwa nini kuna reli kutoka Ubungo, ulishawahi kutembelea Viwandani Gerezani Ilala kule kuna reli imepita unajua ni kwa nini ? Vile viwanda vya njia ya Airport kuna reli ilijengwa huko unajua ni kwa nini ? Ulishawahi kufika kwenye mashamba ya katani Mkoa wa Tanga ambayo leo ni ya METL kuna reli kule imepita kwenye mashamba unajua ni kwa nini Muzungu alikuwa anajenga hizo reli huko kwenye mashamba na viwandani Dar kama hakuna umuhimu ?

Unajua reli ya kwanza iliyojengwa na Mkoloni ilitoka wapi mpaka wapi na kwa nini ? Ilikuwa ni reli ya Tanga iliunganisha milima ya usambara na Bandari ya Tanga na Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ya leo, unajua ni kwa nini ? Na lengo lake lilikuwa ni lipi ? Ni kwanza kusafirisha mbao na miti yake kwenda nje zilizozalishwa milima ya usambara, pili kusafirisha kahawa iliyolimwa Kilimanjaro na katani iliyolimwa Tanga, hilo ndilo lilikuwa lengo KUU ya Muzungu kujenga Reli ya kwanza kwenye Koloni lake ambalo leo tunaita Tanzania, na ilifanya kazi, tulikuwa unaongoza Duniani kwa kuuza Katani na reli ilisaidia ilifika mpala kwenye mashamba ya mpira Mkoa wa Tanga, ...
 
Tumetoka kwenye migodi ya dhahabu tumehamia mashamba ya katani, kitaalamu hiyo inaitwa "Flight of ideas". Kila la heri kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekupa tu mifano ya kwa nini watu hujenga reli, mfano mwingine nitakupa kama ukipenda unaweza kufwatilia umeshafika Ziwa Magadi Kenya ? Mimi nimefika hapo kuna mining ya magadi soda ulianzishwa na Muzungu wakati wa Ukoloni, kuna reli imetoka kwenye mining mpaka Bandari ya Mombasa inasafirisha Magadi soda, na haya yote yalifanywa na Muzungu of course siyo Wakenya wenyewe, unafikiri ni kwa ini Muzungu alijenga reli kutoka Mgodini huko Rift valley mpaka Bandari ya Mombasa ?
 
Hahaha, kama kawaida yenu kutokubali kukubali mapungufu yenu, tatizo sio Uganda, SGR yenu haitoweza kulipa deni ndio sababu China imekataa kutoa pesa, "Not economically viable"

That's a big point, it
Binafsi kitu ambacho sijaelewa mpaka leo hii kuhusu Afrika (Tanzania, Ke, na hata Uganda na wengineo), kwa nini wanajenga reli kukidhi haja ya nchi nyingine ? I mean, lengo KUU la nchi kujenga reli linapaswa kuwa nchi yenyewe kwanza halafu nchi jirani huwa inakuwa ni extra tu, lkn HITAJI KUU ni ndani ya nchi, sasa ukiangalia Tanzania kama Kenya ni hivyo hivyo wote wanagombania reli ihudumie nchi jirani, kwa nini ? Au hakuna cha kusafirisha nchini mwenu ? Na kama ni hivyo yaani hakuna cha kusafirisha ni bora hizo fedha za kujengea mpeleke kwingine kwani hiyo ni white elephant project.

Fikiria watu wanajadili kufikisha Reli Kongo au sijui Rwanda na Uganda why ? Kwa Tanzania tulipaswa tujenge Reli kuunganisha Migodi yetu ya madini na Bandari, mfano hakuna connection ya reli kati ya coal mining na Bandari, leo hii coal tunasafirisha kwa lori halafu watu wanahangaika kupoteza mabilioni kuunganisha nchi yetu na Rwanda au sijui Uganda, kwa nini ? Binafsi naona ni bora hizo fedha Serikali ingejenga Reli ya ndani mfano kuunganisha eneo la Ziwa Nyasa na Bandari ya Mtwara, Mtwara corridor hilo eneo lina coal nyingi ambayo tunaweza kuisafirisha kwa treni mpaka Bandarini Mtwara for export, haya mambo ya kuwafikishia SGR Uganda au Burundi kwangu mimi siyo clever .

Badala ya kuhangaika na nchi nyingine tujenge hi Reli nchini mwetu Ziwa Nyasa -Mtwara, hao Rwanda Uganda wakitaka kuunganisha na nchi yetu tunaweza kuongea kugawana gharama lkn lisiswe lengo la sisi kujenga Reli ya Mabilioni.

Mtwara Corridor
View attachment 1660161

I'm always looking at the map and becomes confused. Is Tanzania no longer own the part of lake Nyasa?
 
Nimekupa tu mifano ya kwa nini watu hujenga reli, mfano mwingine nitakupa kama ukipenda unaweza kufwatilia umeshafika Ziwa Magadi Kenya ? Mimi nimefika hapo kuna mining ya magadi soda ulianzishwa na Muzungu wakati wa Ukoloni, kuna reli imetoka kwenye mining mpaka Bandari ya Mombasa inasafirisha Magadi soda, na haya yote yalifanywa na Muzungu of course siyo Wakenya wenyewe, unafikiri ni kwa ini Muzungu alijenga reli kutoka Mgodini huko Rift valley mpaka Bandari ya Mombasa ?
Kaka unahitaji kujifunza vitu vingi sana, inaonekana uelewa wako katika haya mambo bado ni mdogo sana.
1)Hizo reli zote unazosema kutoka hivyo viwanda au mashamba ya katani ni "tributaries" zenye kulisha "main railway"
2)7Main railway line ni muhimu kuunganisha zaidi ya nchi moja pamoja na hizo ndogondogo zenye kulisha ili kuhakikisha mzigo wa kutosha kama walivyofanya wakoloni kutoka Mombasa hadi Kampala
3)Lengo ni kuhakikisha kwamba reli inapata mzigo wa kutosha, hizo tributaries pekee hazitoshi.
 
Siyo kweli, Muzungu alijenga reli ya Mombasa-Uganda kwa sababu ilikuwa ni nchi moja, hivyo ilikuwa ni kama tu kuunganisha Mikoa ya British East Afrika na Bandari ya Mombasa, lkn hakujenga Reli ya Mombasa ili kuhudumia nchi nyingine kwani Uganda na Kenya zilikuwa nchi moja iliyoitwa British East Afrika, hata huku kwetu Mjerumani hakujenga Reli ili kuhudumia nchi nyingine bali alijenga reli strategic kuhudumia nchi yake ambayo leo hii ni yetu.

Kwa kukusaidia zaidi unajua kwamba Mkoloni Muingereza alijenga reli kutoka Bandari ya Mtwara mpaka Nachingwea reli ambayo tulikuja kuing'oa baada ya Uhuru ? unajua ni kwa nini hiyo reli ilijengwa ? Ni kwa sababu Nachingwea Muingereza alilima Karanga kulikua na mradi mkubwa wa kilimo cha karanga ambapo lengo lake lilikuwa ni kuzalisha mafuta ya kula for export na ndio maana reli ikajengwa kuanzia Nachingwea mpaka bandari ya Mtwara ~270 km ili iweze kusafirisha hizo exports, reli ambayo kwa sababu ambazo sizijui tuliing'oa baada ya Uhuru, ...
 
Dah! Kuna wakati wewe huwa bonge la great thinker....sijui mbona unakua mtu wa vibweka muda mwingine.
 
Mimi nafiti kila mahali, inanisaidia kuwa chochote ninachotaka kuwa kwa kupost chochote hapa JF bila ya hofu ya watu watanichukulia je kama wengi walivyo, niko huru, ...
 
Back
Top Bottom