Kenya sasa Luddism and Chatism

This one sounds stupid, but i if implemented, it will have a huge impact and some one will have to listen whether he likes it or not. Smart move, but bad and dangerous!
 
Pamoja na hayo waliopanga kufanya sikujua kama Odinga alikuwa ni mmojawapo wa aliyepanga kuipindua serikali ya Kenya mwanzoni mwa 1980s.

Swali ni kwamba, Je sasa atatumia hiyo technique kumwangusha Kibaki? Wataalam wanasema, jibu litaanza kujulikana baada ya siku 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…