Kenya sasa ni number sita Afrika kwa GDP


Mzee wa nongwa huwa napenda ulivyo muwazi bila kuficha maradhi, sijui lini ulianza kubadilika.
 
As usual ccm bullshit ...mabeberu wamefanya nini[emoji1787] ..next tunaangusha morocco hata oil revenue haijaingia bado
Mabeberu watapata tabu sana kujaribu kuendelea kuibeba Kenya Kwa kupika data mbali mbali ili kuaminisha dunia kuwa Kenya kuchagua kuwalamba miguu na kuwa abudu mabeberu ni jambo sahihi kwa sababu Kenya ni kama zigo la mavii alibebeki
 
Watanzania msiosadiki hizi habari, huu wimbo unawahusu, muusklize mtaelewa kwanini.

Your browser is not able to display this video.
 
Pimbi za Kenya zimepika GDP dunia ilisha sema lengo ni jubilii na Uhuru wasidhalilike Kwa kupitwa na Ethiopia. True GDP ya Kenya $ 72Bil

IMF ndio wamepika?
Hao ndio wamefanya hesabu kaka.
 
Hivyo ndivyo CCM imemfunza. 😂 😂 😂
GDP ni calculation ya vitu vilivyo mashinani.
Si ni hivyo nayo jubilee inavyowafunza kupika data 😂😂😂
Mkiambiwa mnapika data mnaumia balaal 😂😂😂
GDP ya kwenye makaratasi isiyoweza hata kufanya mradi kwa Pesa zake hadi mkope,
GDP isiyowanufaisha wakenya zaidi ya kuliwa na wachache 😂😂😂
Haiwasaidii chochote watu wa turkana na zile counties zingine 24 ambazo hazina chakula zaidi ya kutegemea misaada ya chakula karne hii kutokana na kufisadi miradi mikubwa ya umwagiliaji 😬😬😬
 

Data yenyewe sio yetu.
GDP ni hesabu ya IMF. Tutapika vipi?

US GDP yake $20 trillion, lakini lazima wakope miradi yao. Kwa hivyo point yako gani?

Wewe kama mtu wa LDC, nakuelewa unapofikiria GDP ya $100 billion ni kubwa. Lakini ili Kenya ijitoe kwa umaskini, tunahitaji GDP ya $500 billion kwenda juu.

Lakini vile vile, hii GDP yetu imejenga lami mara mbili Tanzania. Stima mara mbili na nusu. Mishahara mara mbili.
 

Yaani hawa hata elimu ya msingi kwao ni mtihani, sijui huwa wanasoma vipi kwa kweli, siku nyingine nikitembelea Bongo nitatamani niingie kwenye darasa moja nione kitu gani wanafundishwa, hizi data sio zetu, sio sisi tumezitangaza, sasa unashindwa IMF watapika data za nchi moja ya Kenya ili iweje.
 
Hahahaha Kawadanganye wana kibera wenzako huko,
Lami zenye vitobo kila kona,
Kujisifia una pesa wakati familia yako inateseka kila siku na njaa,
Mishahara na migomo haiishi.
 
Vipi kuhusu 30% ya thamani ya pesa yenu 😂😂😂
 
Ndugu,the data was compounded as for the next year. Ungeelewa Kama ungekua na shahada ya Economics, Actuarial science ama Statistics. La sivyo unajiaibisha kakangu.

Bro we got that Information right. 5% growth p.a. can't make such a huge difference in just 3 years.
 

Ehe he hee,
😂😂🤣
mkulu GDP yao haihusiani na kibera na Turkana sijui wapi huko kwingine.

Yao inahusiana ranking tu.
 
Wenye hali nzuri Ni hao wenye per capital kubwa msilete ujinga wenu tafadhali...
Seychelles, Mauritius,Botswana,Namibia,S.A.

UJINGA wa NIGERIA Ni ukubwa wa PUA tu
 
Wenye hali nzuri Ni hao wenye per capital kubwa msilete ujinga wenu tafadhali...
Seychelles, Mauritius,Botswana,Namibia,S.A.

UJINGA wa NIGERIA Ni ukubwa wa PUA tu
Yeah you're right lakini toa SA hapo...
 
Hahahaha Kawadanganye wana kibera wenzako huko,
Lami zenye vitobo kila kona,
Kujisifia una pesa wakati familia yako inateseka kila siku na njaa,
Mishahara na migomo haiishi.

Hatujisifii tuna pesa.
Tunajisifia tuna pesa mingi kuliko LDC Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…