Sema kabla ya kumshabikia Raila!Niliwahi kusema siasa mchezo mchafuu sanasana
Kunasehemu niliwahi andika hao jamaa wanaelewa walichofanya mnashabikia bure kufutwa uchaguzi bila kujua jamaa wako pamoja
Sijaona kipya kwa rails kujiondoa nilitegemea hill maana alikuwa anaenda kupata kura chache zaidi ya alizozipata pale ndio angeelewa maaharage n mboga na n zao LA biashara
Sawa RAILA AMEJIONDOA VIPI ULE MZIGO ALIPOKEA KUTOKA KODI ZA WATU KWA AJILI YA KAMPENI...NAZO ANARUDISHA HAYA NDIO MASWALI YAKUJIULIZA ZAIDI KILA SIKU KABLA YA KUSHABIKIA UPINZANI
Mzigoo wakampeni kakamata wamanaa unamtosha ajifie zakeMzee Raila aisee... Haoni taabu kuitia hasara nchi yake. Round ya kwanza wenzake wanafanya campaign yy na team yake wako busy mahakamani na wakipanda jukwaani ni kutoa vitisho tu, watatutambua ngoja tuingie madarakani. Uchaguzi umefutwa imepangwa tarehe kaikataa, wamebadili tarehe wameanza campaign tena kutwa kuamrisha watu wake kuandamana. Sasa amesoma majira na nyakati kaona mmmmh nitokee kivingine.... Hasara kwake sio shida.