Na wale wanaotumia pesa vizuri kujiendeleza iweje bado wamekwama katika like tope LDC? Au bado wanakomboa Africa?Hizi ndoto zenu za kujipa matumaini ya hovyo ndizo zinazoifanya Kenya kuingia katika matatizo kila siku. Viongozi wenu wanatumia pesa hovyo kama kupeleka delegation kubwa kuliko nchi zote duniani huko USA, hata wakati wa kombe la dunia huko Urusi, wabunge wenu wengi sana walienda kwa pesa za serikali, badala ya kuzungumzia mambo hayo ili pesa zitumike vizuri, mnafikiria mambo ambayo hayana dalili zozote kufanyika.
Bagamoyo Port iliwashinda... message sent.Message sent.
Nchi yetu LDC ni zaidu. Cheki SGR hata km 50 zimetushinda, Madeni Tena ya Mabeberu, angalia ATCL hata safari za Entebbe ni shida, ufisadi, mafao ya waliostaafu hamna, Koroshow, utekaji nyara, kukandamizwa kwa viombo vya kupeperusha habari, angalia Bagamoyo, Kibaha highway pia imetushinda. Afadhali hawa Manyang'au Mara kumi hata umeme hapa Ni mgao na kule mikoa ya Kusini Hali tete miundombinu bure kabisa.Man whats wrong with Kenya....SGR failed, eurobond, bullfing foreign debt, high graft rates.....your still adding insults to injuries