Kenya seeks to amend rules on sugar imports as shortage looms


Also in 2016.....
Wala viwavi jeshi kuikabili njaa
 
Mbona hilo linajulikana na kila mtu kwamba Kenya ina Uchumi mkubwa kuliko nchi zote za AM, au kuna kipi kigeni hapo?
Kwa hivyo mbona kushangaa waKenya kutumia sukari na bidhaa zingine kwa wingi?
 
There isnt a sugar deficiency in Kenya currently, Geza Ulole, but a looming shortage, which the government is seeking to take measures to offset. The new import laws are meant to shield the struggling local industry frm the cheap imports.
 
Yes!! If we can afford it what's the problem? Tungekua tunatumia kidogo pia mngekuwa mnatukejeli.
Sasa mwatakaje?


Sijawahi kusikia jamii au nchi yoyote ile Duniani inajisifu kwa matumizi makubwa sukari, nijuavyo mimi ni kinyume chake!
 
from back then, Kenya have been importing sugar..ata kama umesoma hiyo thread vizuri imeeleza...."Kenya has licensed 66 private companies to import table sugar, and 47 companies to import white refined (industrial) sugar that is mostly used in the manufacture of soft drinks, confectionery and chocolate".....meaning sugar import has always been ongoing to feed the high Kenyan demand.

I don't see the post as alarming as you guys see it.
 
Kwa hiyo ni sifa kutumia sukari nyingi? Hii nilikuwa sijawahi kuisika na ni mpya kwangu! Kwa hiyo mimi nikitumia sukari nyingi klk jirani yangu ninapaswa kujivunia?

Chief, sukari haitumiki kwenye chai tu. A big part of that sugar is for industrial purposes (Bakery/Dairy/Chocolate/Tartar/Jam/Sweets/Toothpaste/Medicine production etc). You be the jjudge kama ni kitu cha kujivunia after assessing that.
 
Chief, sukari haitumiki kwenye chai tu. A big part of that sugar is for industrial purposes (Bakery/Dairy/Chocolate/Tartar/Jam/Sweets/Toothpaste/Medicine production etc). You be the jjudge kama ni kitu cha kujivunia after assessing that.


Nijuavyo mimi Dunia nzima jamii/nchi zinapambana kupunguza matumizi ya sukari ndiyo maana hata kuna Cola light, hata Bia inayonywea kwa wingi ni ile isiyo na sukari kama Serengeti lager n.k. hivyo sijawahi kusikia jamii au nchi yoyote ilie ikijuvunia kuwa na matumizi makubwa ya sukari, mimi ninachojua kama nchi ina matumizi makubwa ya sukari huwa inajitahidi kupunguza!
 

Well mosi, for your info kupunguza matumizi ya sukari kwenye products mara nyingi huwa ni PR tu kwa sababu globally production ya sukari inapanda wala haishuki. Pili, hayo makampuni yanayosema kuwa bidhaa zao hazina sukari utapata wamefanya tu exchange ya natural sugar for "artificial sweeteners" ambazo bado tu ni derivatives za sukari. Tatu, kujivunia matumizi makubwa ya sukari viwandani ni sawa kwa sababu kunaonyesha ukuaji wa viwanda which is a good thing ila kwa matumizi ya nyumbani hamna cha kujivunia. I hope umenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…