Nyinyi watu sijui mko na ugumu wa kuelewa au vipi, Kenya has consistently never taken sides in any African conflict thats why you will find numerous articles on a certain guerilla leader having links with Kenya while at the same time the government he is fighting having relations with Kenya.
If we were taking sides kenya would probably have aided mohammed farah aideed retake somalia
Vipi huko Somalia, kwa sasa mmechukua upande gani?...Kenya has consistently never taken sides in any African conflict...If we were taking sides kenya would probably have aided mohammed farah aideed retake somalia
..ndiyo UNAFIKI wenyewe huo tunaousema.
..yaani Kenya took a neutral stand wakati Waafrika wenzenu were suffering under colonialism and apartheid system.
cc Geza Ulole
Hao waafrika waliotusaidia kujikomboa kwa wabeberu ni akina nani?
..so kwenye matatizo yenu na ICC Waafrika wenzenu mnataka waulize jinsi mlivyowa-abandon wakati wanapigania uhuru wao?
..kwani Apartheid South Africa na magaidi wa Renamo waliwasaidia wakati mkipambana na wakoloni??

We are only in icc because of one stupid Mwai Kibaki, you can take your support to more deserving countries if you dont mind.
We are only in icc because of one stupid Mwai Kibaki, you can take your support to more deserving countries if you dont mind.