KENYA: Serikali yasema vituo 3 vya Tv vitaendelea kufungwa hadi uchunguzi utakapokamilika

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Vituo vikubwa vitatu vya TV vitaendelea kufungwa hadi itakapokamilisha uchunguzi juu ya kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani, Raila Odinga.

Waziri wa mambo ya ndani, Fred Matiang'i amesema leo kuwa, serikali imeshaanza uchunguzi juu ya jambo hilo

Vituo vya Televisheni vya NTV, Citizen na KTN vizimwa asubuhi ya jana kwa kurusha moja kwa moja tukio lililopangwa na Upinzani la kumuapisha Raila

Waziri wa Mambo ya Ndani, Fred Matiang'i amesema wameanza uchunguzi mkubwa juu ya watu na taasisi ambazo ni pamoja na vyombo vya habari kuhusiana na tukio hilo la kihalifu

==========================================

Three main television stations in Kenya will remain off air until the government completes a probe into the "swearing-in" of the opposition leader Raila Odinga.

Interior Cabinet Secretary Fred Matiang'i said Wednesday that the government has started investigations "targeting individuals" over the mock inauguration on Tuesday at Nairobi's Uhuru Park.

The Nation Media Group's NTV, Royal Media's Citizen, and Standard Group's KTN News were switched off mid-morning Tuesday for airing live footage of the National Super Alliance event.

“Media houses will remain closed until we complete investigations,” Dr Matiang'i told a press briefing that was aired by state-run broadcaster KBC.

Source: The East African
 
Waliisifia sana kenya na kusema demokrasia imkomaa,imekuaje tena kufungia vituo vya tv,citizen ndo tv tunayoitegemea,wameifungia
 
Democracy rules in Kenya. wait for only a few days for such blips to be overturned by a court order. Huku sio kama kwenu bana
 
Back
Top Bottom