BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Hao watakuzalia dwazi kabisaUkitaka yule manzi msupuu kuja Dar uji enjoy [emoji1]
Msee hao mademu mbona wame beat!
DuhDuh! Utakua na mapungufu ya nguvu za kiume, kawaida hizo ndio dalili za upungufu huo, kuona kila mbaya kwa kila mwanamke.... Yaani mwanamume testosterone zikipungua huwa anaanza kulalamika, mara wamebeat, mara miguu yao, mara macho yao, mara nywele mara hiki mara kile.
Lakini kwa dume lililokamilika, linafyatua mbele kwa mbele.
Haha!....below the belt.Hao watakuzalia dwazi kabisa
Kuna time tulitamba sana cricket nyakati za kina Maurice Odumbe.
Cricket??? You guys must be very cultured men, tweed coats, newspaper under the arm and all! [emoji1]A cricket pitch. Perfect. We need a nice cricket pitch. And state of the art rugby pitch too