Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
- Thread starter
-
- #81
There is no shame where remmittances are comming from..A huge chunk of eastleagh is built from somali money..Roysambu is built by blood money from south sudan..I'm sure you're making up figures as you go.
But you should note that a lot of that remittances is from Tanzanians in Kenya.
Kenya is your diaspora.
Hao IMF ndio waliosema kwamba Kenya mnaongeza thamani ya pesa yenu. Hivi nani anayepaswa kutumia zaidi kati ya mtu anayejiita tajiri lakini watoto wake wanakufa njaa, na yule ambaye anapata chakula cha kutosha, anaishi NYUMBA nzuri kwa pesa yake lakini anajiita masikini?Najua inakuuma sana, lakini ni $99 billion.
Tafuta figure za IMF sio kushusha data. Unamaliza kupika za Tanzania unakuja kupika za Kenya?
Wachana na ripoti za kijinga za maNGO. This is the only statistic you need to know.
2008 KRA revenue - Sh433 billion
2018 KRA revenue - Sh1.43 Trillion
(Tripled)
2008 budget - Sh867 billion
2018 budget - Sh3 Trillion
(More than tripled)
2008 GDP - $36 billion
2019 GDP - $99 billion
(Less than tripled)
If indicators show that the country's economy has tripled within that period, except the GDP, that brings me to one conclusion.
Kenya's GDP is undervalued. There is so much undocumented goods and services going on.
The true Kenyan GDP is more between $110 and $150.
Also, the shilling should be doing better than it is.
Yes we do so to increase our exports, as the result our exports to EAC and SADC have tripled while that of Kenya have been going down.Tanzania and Kenya have had an almost similar inflation rate last 10 years. If that was the only thing that determines strength of a currency, then we would be in the same boat with you.
But Kenya has had more foreign exchange inflows over the same time.
Kenya has had better economic and monetary policies.
The end result is that both currencies have weakened over time, but Tanzania shilling has weakened more.
A very primitive boy from the lineage of kinjeketile ngwale. Now predicting the future as if he knows everything.You are paid handsomely but also you are taxed cruelty. 2022, Tanzania tutakuwa na first class Infrastructure, Hospitals, water supply, universal electricity which is reliable and very cheap, bullet train, cheap and affordable housing.
On other side, number of Kenyans dying of hunger and terrorists attacks will triple, cholera outbreaks, crime and police killings will double, corruption will be growing and Tribalism will be on driving seat of State house.
Explain to them, i find some people here very daft.. common logic would serve them well.Kila siku hua unajifanya expert wa economy.... Hata mimi ambaye sina background ya economy najua kua thamani ya pesa haiko directly propotional to uchumi wa nchi......
Kwa mfano pesa ya China pia ni managed currency na iko undervalude by 30% maksudi kwasababu China is an exxport oriented country kwahivyo wanashukisha thamani ya nchi ili bidhaa zao zikiuzwa nje ziwe bei rahisi...
-----------------------------
Many argue that on simple purchasing power parity, the Chinese currency the Renminbi/Yuan is undervalued by approximately 30%. This is a source of friction in the US, with firms claiming they lose out to a cheap Chinese currency which can undercut US goods.
----------------------------Why is Chinese Currency Undervalued? - Economics Help
Many argue that on simple purchasing power parity, the Chinese currency the Renminbi is undervalued by approximately 30%. This is a source of friction in the US, with firms claiming they lose out to a cheap Chinese currency which can undercut US goods. The Chinese government wish to keep the…www.economicshelp.org
Lakini hii haimaanishi eti Uchumi halisi wa China = 130% * current GDP , Hata Serekali ya Tanzania ina prefere thamani ya shilingi ibaki chini kwasababu ya export ya madini na utalii mkilipwa na dollar mnapata faida nyingi..... And using the same Logic, Serekali ya Kenya huhakikisha shilingi imebaki hapo around 100 kwasababu ya kulipa madeni na pia sisi tuna import bidhaa nyingi kuliko tunacho export.... Lakini hii haimaanishi eti leo hii tukishukisha thamani ya shilingi yetu dhidi ya dollar kutoka 100 hadi 130 eti value ya uchumi nayo itashuka kwa kiwango cha 30% !!!!!
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Currency exchange :
1USD = 2,300TSH
1USD = 101 KES
2,300 / 101 = 22 times more than Tsh, Lakini hii haimaanishi eti Kenya ikizalisha(GDP) bidhaa za thamani ya KES 10 Billion eti ni 22 times more money than kama TZ ingezalisha the same bidha.....
In other words............
If Kenya produced goods worth Kenya shillings 10,000,000,000 Billion its equivalent to a Tanzania producing goods worth TSH 227,190,342,600 Billion based on KES/TZ exchange rate.
And based on local currency to USD equivalent:
KES 10 Billion to USD = 98,787,000 Million
TSH 227,190,342,600 to USD = 98,775,545 Million
Lazima duniani kuwepo na "regulatory body" . IMF na WB ni watch dogs wa dunia katika mambo ya fedha na uchumi ili kutoa taarifa sahihi za uchumi wa kila nchi, ili kuzisaidia nchi husika kujua uchumi wake unaendaje kwa kujilinganisha na chumi za nchi zingine duniani, pia kuwasaidia wawekezaji na wafanyabiashara waweze kufanya maamuzi sahihi katika kufanya investments.Ni vizuri sana umesema kama tukienda kuuza bidhaa zetu marekani thamani yake itakua hivyo....... Just like tanzania ingeuza bidhaa zake marekani ingepata pesa nyingi zaidi,kama vile mnavyopata hela nyingi zaidi ya utalii....... Lakini hatuko marekani, tuko nchini mwetu na bidhaa nyingi tunajuizia na kununua wenyewe hapa hapa kulingana na inflation rate na thamani ya bidhaa ukitumia pesa za ndani.........kwahivyo Thamani ya hela haendani na kipimo cha uchumi !!!!!
That's not how GDP growth is measured wacha ujinga.IMF iliposema GDP ya Kenya ni $90B, wakenya walikuja hapa na kujisifia kama kawaida, sasa subiri watakavyoipinga na kuitukana IMF kutokana na hii ripoti.
Ila huu ndio ukweli halisi ya Uchumi wa Kenya, sio zaidi ya $70B. Ukiwa na akili ya kawaida huwezi kuamini kwamba, miaka minne iliyopita GDP ya Kenya nilikua $64&, kwa wastani wa kukua kwa 5% ghafla umefikia %90B.
Hahahahaha, elimu yenu zaidi ya ukabila na kiingereza hamna mnachofundishwa zaidi. Sema wewe ulivyofundishwa, GDP ya nchi inapatikanaje?That's not how GDP growth is measured wacha ujinga.
Yes we do so to increase our exports, as the result our exports to EAC and SADC have tripled while that of Kenya have been going down.
Kenya GDP - Gross Domestic Product 2014
Gross Domestic Product of Kenya grew 5% in 2014 compared to last year. This rate is 12 -tenths of one percent higher than the figure of 3.8% published in 2013.countryeconomy.com
Kenya GDP in 2014 ilikua $61.5B,
Kwa wastani uchumi umekua kwa 5.6%.
Kutoka 2014 mpaka 2018 ni miaka minne, onyesha ni kivipi ndani ya miaka minne mnaweza kuongeza $35B, hahahahaha, hicho ni kichekesho, wadanganyeni wakenya wenzenu.
Hao IMF ndio waliosema kwamba Kenya mnaongeza thamani ya pesa yenu. Hivi nani anayepaswa kutumia zaidi kati ya mtu anayejiita tajiri lakini watoto wake wanakufa njaa, na yule ambaye anapata chakula cha kutosha, anaishi NYUMBA nzuri kwa pesa yake lakini anajiita masikini?
Sasa wewe mbona unakwepa mada?, jibu swali kitaalamu kwasababu hili swali linahitaji hesabu sio Maneno tupu.Don't take things too literally.
The Ksh of 2014 is not the same as the Ksh of 2018.
Hata hujulikani unachozungumza, unapiga kelele hovyo hovyo tu. IMF imesema Kenya GDP is $90B, at the same time IMF inasema Kenya ovarevalued its currency by 17.5%. Hii maana yake ni kwamba GDP ya Kenya imekua inflated by 17.5%Because at one point IMF said something, you will always go with that report? Kwanini basi hatutumii GDP figure zao za 2010?
Rule of the thumb. Go with their last report.
The last report trumps all previous ones.
Exports have not kept increasing as a % GDP, infact they have fallen sharply👇👇Our exports have also tripled. We're selling much more to Europe, USA, UAE, Pakistan etc.
Hata hujulikani unachozungumza, unapiga kelele hovyo hovyo tu. IMF imesema Kenya GDP is $90B, at the same time IMF inasema Kenya ovarevalued its currency by 17.5%. Hii maana yake ni kwamba GDP ya Kenya imekua inflated by 17.5%
Sasa wewe mbona unakwepa mada?, jibu swali kitaalamu kwasababu hili swali linahitaji hesabu sio Maneno tupu.
2014 Kenya GDP was $61.5B
Economy growth rate, average 5.6% per year
Calculate GDP of Kenya in 2018
Sawa sawa kabisa, ndio sababu factors zote hizo zinakuwa included. In case of Kenya kwanza unatafuta "How much Kenya got for four years from 2014 to 2018 from growth rate of 5.6% per year, then you multiply by a factor( the strength of your money), this factor in our country is always either is number one(1), if its value in relation to $, is the same like previous year, or bigger than one, if the currency gained against $, or less than one (0.9) if it lost to $.The currency also re-adjusts itself over time. GDP is calculated in dollars. If your shilling weakens over time, when it comes to converting back to dollar, it will see only a minimal growth. And vice versa.
Kumaanisha if your economic output is Tsh100 trillion this year, and Tsh110 trillion next year. That's 10% growth.
But kama shilingi yenu ilitupa value over that period, converting back to USD will give you a smaller figure than you expected.