Specify.Walimu wa Kenya watapokea mishahara full year bila kufanya kazi
Hakuna kozi zinazotolewa kwa kingereza huko UfaransaKw sababu hyo elimu kenya inatolewa kw kingereza..
Kwhyo hata usishtuke sana unapoakia vitu km hvyo, yani uende ukasomee ufaransa alafu ukirudi utusifie una elimu lkn kifaranaa zero..nani atakuelewa kwwli
Tena Kenya watazaa wengi sanaaMaji yamefika shingoni, athari za kuvusha mwaka wa masomo tutarajie mabinti wengi kupata watoto na kushindwa kumalizia masomo
All public school teachers wataendelea kupata mishahara yao kama kawaida serikali haina nguvu ya kusitisha mishahara hio....tyari bajeti ya $5b ya elimu ilishapitishwa..pia serikali itachukua muda huu kuimprove school infrastructureSpecify.
Wa shule gani!??
All public school teachers wataendelea kupata mishahara yao kama kawaida serikali haina nguvu ya kusitisha mishahara hio....tyari bajeti ya $5b ya elimu ilishapitishwa..pia serikali itachukua muda huu kuimprove school infrastructure
Wala sijabisha usije kwa jazba wewe ajuza.
Sasa kigoma itakua vipi moja ya mikoa ya Kati wakati ipo magharibi mwa nchi mpakani kabisa tena inapakana na ziwa au kwenu Kati ya maanisha Nini? Okay for adminstrative purposes unaweza ukasema hivyo lakini unapokua unapeana direction it's wrong to say that, don't you think so? Kwa mfano haimaanishi Kama wewe hutoki mkoa wa pwani huwezi ukaambia mtu wewe ni mpwani maana unatoka Lindi wakati Lindi yenyewe ni pwani.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Wacha ubishi wa kijinga maana hufahamu chochote kuhusu Tz,Anatumia hio kauli ya lake zone eti ndio kwao atukanganye sisi ambayo sio wa huko ili asitambulike wakati yeye ni mmoja wa wale wapiga ramli wa chato.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Labda "Quality of education" ya kushinda njaa.Hata tukifunga shule for 100 years you never reach to Kenya`s quality of education.
Top 10 African Countries With The Best Educational System (2020)
Hapana ila alishapita udsm pale kama lectureHuyu Magoha sio sio ni mpogoro kweli kutoka kule Ifakara ?
But hatukuli albino.
Haha.! Kuna akina Magoha nawafahamu wapogoro wa Ifakara huko.Hapana ila alishapita udsm pale kama lecture
Kanda zimeundwa kwa ajili ya utawala na ndio maana nikasema for adminstrative purposes upo sahihi lakini kwa uhalisia mtu wa tanga ,Lindi na mtwara yeye bado yupo pwani na ni mpwani huwezi ukamueka kundi moja na mtu wa manyara au eneo lolote lile ambalo halipo coast.Wacha ubishi wa kijinga maana hufahamu chochote kuhusu Tz,
Tanzania imegawanywa katika kanda kuu sita,
Ndio maana umeambiwa ukimuambia Mtanzania yoyote unatokea kanda ya ziwa atafahamu unatokea mikoa gani,
Ngoja nikufundishe ili uache kubisha ovyo vitu usivyo vifahamu,
KANDA YA PWANI
Kanda hii imeundwa na mikoa mitatu, yaani mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
KANDA YA KASKAZINI
Kanda ya Kaskazini imeundwa na mikoa minne, ambayo ni; Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga
KANDA YA ZIWA
Kanda hii imeundwa na mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara.
KANDA YA KATI
Kanda hii imeundwa na mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma.
KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
Kanda hii imeundwa na mikoa ya Mbeya, Iringa, Katavi, Njombe, Songwe na Rukwa.
KANDA YA KUSINI
Kanda hii imeundwa na mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma.
Hamna Cha Kanda moja Wala Nini kule Kuna majiwa zaidi ya tatu katika mikoa tofauti huwezi ukawa unatoka katika hizo mikoa zote,sema tu wewe ni mnyamwezi au muhaya maana siku hizi wanyamwezi pia wameiga akili za wasukuma ndio maana unaweweseka.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Unaposema lake zone unamaanisha Nini? Maana kigoma pia ipo kwa lake ,ungesema tu wewe ni mmojawapo wa wale wapiga ramli wa chato ungeeleweka mbona kitambo tu .
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Wala sijabisha usije kwa jazba wewe ajuza.
Sasa kigoma itakua vipi moja ya mikoa ya Kati wakati ipo magharibi mwa nchi mpakani kabisa tena inapakana na ziwa au kwenu Kati ya maanisha Nini? Okay for adminstrative purposes unaweza ukasema hivyo lakini unapokua unapeana direction it's wrong to say that, don't you think so? Kwa mfano haimaanishi Kama wewe hutoki mkoa wa pwani huwezi ukaambia mtu wewe ni mpwani maana unatoka Lindi wakati Lindi yenyewe ni pwani.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Saa nyingine vitu kama hujui jaribu kufanya tafiti kwanza na sio kupenda kubishana ovyo vitu usivyo vielewa,Anatumia hio kauli ya lake zone eti ndio kwao atukanganye sisi ambayo sio wa huko ili asitambulike wakati yeye ni mmoja wa wale wapiga ramli wa chato.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kanda zimeundwa kwa ajili ya utawala na ndio maana nikasema for adminstrative purposes upo sahihi lakini kwa uhalisia mtu wa tanga ,Lindi na mtwara yeye bado yupo pwani na ni mpwani huwezi ukamueka kundi moja na mtu wa manyara au eneo lolote lile ambalo halipo coast.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kenya ifunge shule miaka 10 bado elimu yake itazidi ya TZ.
We unashangaa huyo kenya kuna professor anaitwa kambona (ss hayo kaam ona si ni watu wa songea ) ukiachana na huyo kuna huyo professor anaongoza taasisi yao ya utafiti kqma NIMR hapa bongo anajina la kombe ss kombe ni wachaga haoHaha.! Kuna akina Magoha nawafahamu wapogoro wa Ifakara huko.