Kenya: Shule za bweni kwa watoto wa shule za msingi marufuku kuanzia 2023

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Serikali kuanzia Januari 2023 itaondoa shule za msingi za bweni kwa wanafunzi wanaosoma katika darasa la 1 hadi la 9.

Kenya imetangaza kuwa kuanzia mwaka ujao hakutakuwa na shule ya bweni kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwapeleka watoto wao shuleni asubuhi.

Hii ni kwa ajili ya kutaka watoto wawe karibu sana na wazazi wao kwa suala zima la malezi.

Katibu Mkuu Mpya wa Elimu ya Msingi Belio Kipsang alifichua Jumanne kwamba wazazi watalazimika kuwapeleka watoto wao wa shule ya msingi katika shule za kutwa.

Je unaona je hili pia likitangazwa na wizara ya elimu ya Tanzania litaleta athari gani kwa sekita ya elimu na malezi ya watoto kwa jumla.
 
Hii imekaa poa sana,si unaona hata kwenye Kizim ya Azam Demir anvyompeleka "Okyu" au sometimes anapelekwa ma mchizi wake Uguru! (Just kidding)
 
Marufuku hiyo pia inawahusu wanafunzi wa ngazi ya chini kwa elimu ya Sekondari na itaanza kutumika kuanzia Mwaka 2023.

Ufafanuzi kamili wa madarasa yanayohusika na marufuku hiyo ni kuanzia la kwanza hadi la nane, lengo ni kuwafanya wanafunzi kuwa karibu na wazazi na walezi wao pamoja na kupunguza gharama za malipo.

Taarifa hiyo imetajwa kuwapa mshtuko mkubwa wazazi na walezi ambao wameshaweka mipango ya watoto wao lakini walimu wakuu wengi wamepongeza kwa kuwa itawapa wazazi majukumu ya kuwaangalia watoto wao kwa ukaribu.

=========

Kenya’s Ministry of Education will abolish boarding schools for Grades One to Nine from next year, in a move that — coming just six weeks to the reopening of schools — has caught many parents flat-footed.

Announcing the hugely significant policy shift, the principal secretary for Basic Education, Dr Belio Kipsang, said the learners need to be close to their parents and guardians.

This comes as a shocker for parents whose children are already enrolled in boarding schools, but the move was praised by headteachers, who insisted parents must take up the responsibility of raising their children.

“The real reason we want to do away with boarding schools is to make education affordable. On average, parents pay up to KSh45,000 per year in extra county schools and KSh53,000 in national schools. [It’s even higher] in private schools,” explained the PS.

He said less than five per cent of public primary schools have boarding facilities. Speaking during the official opening of the Kenya Primary Schools Head Teachers Association meeting at Sheikh Khalifa Bin Zayed Primary School in Mombasa, the PS said the government prefers day schooling for junior secondary.

The policy shift is one of the recommendations made by the Presidential Working Party on Education Reforms and presented to President William Ruto last Thursday. The President announced that junior secondary school will be domiciled in primary school, a departure from earlier plans to have it in secondary school.

The government will also not allow private schools to register boarding sections for junior secondary school. Registrations for new private primary schools seeking to have boarding facilities will also not be approved.

Build low-cost boarding schools

“However, we want to be advised further because parents have already prepared to bring their children to our boarding facilities. What happens to facilities like dormitories? Maybe we can rent them out to tenants,” said Ms Babu whose school has 350 learners, most of them boarders.

Ms Rosemary Nyong’o, the headteacher of Ryururu Girls Boarding Primary School in Meru County, said: “The only challenge now is that, when you go up to Grade Nine, we don’t have facilities. If there are no boarding schools, it means our children will have to go to day schools, therefore our schools will be deserted, and we will have to close shop,” she said, adding that the school recently introduced day schooling for play group learners up to Grade Three pupils.

Dr Kipsang urged school managers to be conversant with the responsibilities that arise from domiciling junior secondary schools within their institutions.

“Start validating and verifying data. We want to ensure that each one of us can host junior secondary and, where we think we can share responsibilities with neighbouring schools, let’s say it,” said Dr Kipsang. According to the Ministry of Education, almost 50 per cent of public primary schools have secondary schools nearby. There are more than 23,000 public primary schools.

“The most critical facility [are science laboratories], therefore we shall be required to share some of [them],” said the PS.

However, he assured Kenyans that his ministry will collaborate with its partners, including parliamentarians, to put up enough infrastructure and to ensure that all learners have access to basic facilities such as laboratories and books.

Source: Monitor
 
Iletwe na tz maana watoto wanaharibikiwa haswa kwenye mapenz ya jinsia moja..hali ni mbaya
 
Great move.
But the ban should be phased, maybe abolishing boarding for the lowest classes first, then progressively.
Parents need to plan themselves.
 
Ni jambo zuri sana kupeleka watoto wadogo shule za bweni ni kuwanyima malezi halisi ya mzazi kwa mtoto.

Pia ni chanzo cha watoto kujifunza tabia mbaya na zisizo na maadili katika jamiii mfano mapenzi ya jinsia moja
 
Serikali kuanzia Januari 2023 itaondoa shule za msingi za bweni kwa wanafunzi wanaosoma katika darasa la 1 hadi la 9.

Kenya imetangaza kuwa kuanzia mwaka ujao hakutakuwa na shule ya bweni kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwapeleka watoto wao shuleni asubuhi.

Hii ni kwa ajili ya kutaka watoto wawe karibu sana na wazazi wao kwa suala zima la malezi.

Katibu Mkuu Mpya wa Elimu ya Msingi Belio Kipsang alifichua Jumanne kwamba wazazi watalazimika kuwapeleka watoto wao wa shule ya msingi katika shule za kutwa.

Je unaona je hili pia likitangazwa na wizara ya elimu ya Tanzania litaleta athari gani kwa sekita ya elimu na malezi ya watoto kwa jumla.
Mimi naona hata Tanzania iwe hivyo
 
Kuna wazazi wa TZ watoto wao wapo masomoni Kenya hii decision isiangalie upande mmoja.
 
Si unajua Kenya ni nchi jirani na watoto wa Tanzania wengi husoma huko bweni
Eti wengi... wengi ndo wangapi?

Yaani we uko Tanzania halafu mwanao wa shule ya msingi umpeleke bweni Kenya? Hata hapa Tanzania tu wazazi wengi hawawapeleki watoto wadogo wa shule za msingi bweni.
 
Back
Top Bottom