Kenya-Somalia Fence

In the 2016/2017 financial, Kenya allocated a colossal $2.64 billion to the security agencies, with the Defence and National Intelligence Service, getting and the Departments of Interior.
According to a recent survey by the Afrobarometer research consortium, Kenya —that has troops in Somalia— is leading in the East Africa region in prioritising the security sector for additional government spending.
Tanzania, at $638 million is second, followed by Uganda at $468 million.


 
Spending yote hiyo bado mna wanajeshi wale tuliowaona wakati wa shambulizi la supermarket wanaiba bidhaa. Shame on you guys hayo mambo ya kipuuzi huwezi kukuta kwenye jeshi la Tanzania
 
Spending yote hiyo bado mna wanajeshi wale tuliowaona wakati wa shambulizi la supermarket wanaiba bidhaa. Shame on you guys hayo mambo ya kipuuzi huwezi kukuta kwenye jeshi la Tanzania
It happened 5yrs ago get over it ...
Kila saa blah blah za west gate
 
Mkuu wakenya wenyewe wanabaguana wenyewe kwa wenyewe walishazoea ndio maana viongozi wa tz wanaenda nao kwa hesabu kali kwenye east africa community
 
Mungu aliumba ardhi na nchi hakuweka mipaka wala fensi...aliweka huru ili wajuane na kufanya biashara...
Binaadamu kwa uharibifu wake wakaanza kujenga nyumba za mageti ya chuma na alarm kila sehemu......
Ikulu zamani zilikua wazi machief na wafalme nyumba zao zilikua huru kwa raia kwenda kuwaoana ..leo ikulu zimekua ngome... huingii hata ukikaribishwa unptavukiwa viatu mikanda na kukaguliwa.....yote uharibufu wa binadamu
Sasa nchi nazo zinaweka fenci ....yote uharibifu wa binadamu na hofu ya kujilinda dhidi ya binadamu mwenzake....
Mwisho wa siku kila mtu atakua hamuamini mwenzake....hivyo kila mtu atajijengea fensi na kutembea nayo....na ndiko tunako elekea
 
Wakenya wakati mwingine wanakuwa kama majuha kalulu.Hizo gari UK ameleta kwa ajili ya kuiba kura,atakaeleta fyoko atakumbana na washa washa hizo.Gari kama hizo haziwezi kumzuia suicide bomber.
Mnapoteza bure kujenga uzio wakati watu wapo tele ndani ya kenya haswa Eastleigh wanasoma tu ramani
 
Sijui kama ulivyo yaandika yanakwenda na uzi unaosema ukuta wa Kenya Somalia Border. Ni vizuri mna upgrade polisi yenu, itawasaidia kuwalinda. Hata sisi, Kikwete aliwapa polisi vifaa kabla ya kuondoka, magari, cctv, vifaa vya mawasiliano, our 999 is up and running, non emergency 111 ipo na number za police commanders tumepewa wananchi.

RAIS KIKWETE AKABIDHI JESHI LA POLISI MAGARI 399 MAPYA KATI YA 777 YALIYOAGIZWA
 

Hayo unayotoa wapi?? Yaani unavyofikiria akilini ndivyo unadhani kila mtu anafikiria! Mwenyewe Juha Kalulu kabisa. Your assumption is not what we plan
 
By the way tanzania and uganda should really contribute financially in building this wall since its the main gate of terrorist to dast africa......tusaidiane jameni.mandugu xetu....
 
Hayo unayotoa wapi?? Yaani unavyofikiria akilini ndivyo unadhani kila mtu anafikiria! Mwenyewe **** Kalulu kabisa. Your assumption is not what we plan
Iko wazi kabisa kuwa vote rigging imeshakuwa pre-planned,kama vile kubadili katiba kuhesabu kura kwa mikono,ili waweze kujaza kura za UK,na kununua hizo gari za kivita ni za kudhibiti wale watakaokasirika baada ya kugundua wameibiwa kura na UK
 
KDF was attacked and claims are that 57 soldiers were killed. They need to be brought back to build the wall and leave the morons to go drying
 
KDF was attacked and claims are that 57 soldiers were killed. They need to be brought back to build the wall and leave the morons to go drying
What happened?? That are the wages of war, you can't do without!!
 
The problem is not budget but corruption in ur army... Only 1/3 of that budget allocated got the actual use..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…