Kenya Special Forces Patrol Boni Forest

Kenya Special Forces Patrol Boni Forest

sam999

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
699
Reaction score
108
Mad respect to The Kenya Special forces who operate along Boni Forest, Mpeketoni and its Environs- Gibons Miller (TWTR)
KDF.jpeg

KDF1.jpeg
KDF2.jpeg
KDF3.jpeg
 
Wakenya ni mazwazwa sana..umeshawahi kuiona picha ya askari wa JWTZ wakiwa kwenye misheni zao...au ata hapo Mtwara tu?
 
Badass.... Jamaa mpaka napata uwoga kwa walivyo, hongera sana wamefaulu pakubwa sana muda hatujaskia visa vya kigaidi, muhimu sana tuwe tunajua kuna hawa washakaji hukesha maporini ili tulale salama, mad respect.
 
Badass.... Jamaa mpaka napata uwoga kwa walivyo, hongera sana wamefaulu pakubwa sana muda hatujaskia visa vya kigaidi, muhimu sana tuwe tunajua kuna hawa washakaji hukesha maporini ili tulale salama, mad respect.
Wapelekeni Turkana
 
Kenya wana ujinga mwinga sana, badala ya kutumia vyombo vya upelelezi kujua wahalifu walipo, mnatumia magari na wanajeshi walio na silaha kubwa kubwa kutishia wanawake wanaochemsha maharage majumbani kwao.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Jamaa wanatumia landcruiser mkonge Kama ISIS tu au boko Haram au Al shabab
 
Mungu awabariki KDF Sana🙏💯 Yani bila Hao Alshaabab wangeteka mpaka Nairobi Kama vile Taliban wanavyoteka Afghanistan,pia wangeteka Watoto wa Shule nyara Kama Nigeria,Asante Mola kwa kutuletea KDF, wanatisha Sana Lakini ni Vizuri,waongeze Neema na Hekima kila siku Ndio tusiwe Kama Jirani yetu Somalia,Tumepakana na Alshaabab hatari mpaka wanawalemea Jeshi la marekani kwahivyo KDF nikiiona imeteka kismayu na imeimarisha Amani Mpaka majini,Nasema Ni asanti na Jina lako Mungu litukuzwe,Thaai Thathaya Ngai Thaai🙏🔥🔥✊
 
iwe landcruiser ama Jeep Bora inaperform the same thing,Zote zinaua Magaidi[emoji3545][emoji382] Mbona unaumwa hivyo Sana na Jeshi la Kenya,kaliliye Jeshi lenu na huko[emoji867][emoji2961]
Fala msengerema
 
Back
Top Bottom