Kenya Special Forces Patrol Boni Forest

Wakenya ni mazwazwa sana..umeshawahi kuiona picha ya askari wa JWTZ wakiwa kwenye misheni zao...au ata hapo Mtwara tu?
 
Inapendeza... Ila Wasomali wanawaangaisha sana...
 
Badass.... Jamaa mpaka napata uwoga kwa walivyo, hongera sana wamefaulu pakubwa sana muda hatujaskia visa vya kigaidi, muhimu sana tuwe tunajua kuna hawa washakaji hukesha maporini ili tulale salama, mad respect.
 
Badass.... Jamaa mpaka napata uwoga kwa walivyo, hongera sana wamefaulu pakubwa sana muda hatujaskia visa vya kigaidi, muhimu sana tuwe tunajua kuna hawa washakaji hukesha maporini ili tulale salama, mad respect.
Wapelekeni Turkana
 
Jamaa wanatumia landcruiser mkonge Kama ISIS tu au boko Haram au Al shabab
 
Mungu awabariki KDF Sana๐Ÿ™๐Ÿ’ฏ Yani bila Hao Alshaabab wangeteka mpaka Nairobi Kama vile Taliban wanavyoteka Afghanistan,pia wangeteka Watoto wa Shule nyara Kama Nigeria,Asante Mola kwa kutuletea KDF, wanatisha Sana Lakini ni Vizuri,waongeze Neema na Hekima kila siku Ndio tusiwe Kama Jirani yetu Somalia,Tumepakana na Alshaabab hatari mpaka wanawalemea Jeshi la marekani kwahivyo KDF nikiiona imeteka kismayu na imeimarisha Amani Mpaka majini,Nasema Ni asanti na Jina lako Mungu litukuzwe,Thaai Thathaya Ngai Thaai๐Ÿ™๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโœŠ
 
iwe landcruiser ama Jeep Bora inaperform the same thing,Zote zinaua Magaidi[emoji3545][emoji382] Mbona unaumwa hivyo Sana na Jeshi la Kenya,kaliliye Jeshi lenu na huko[emoji867][emoji2961]
Fala msengerema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ