Kenya - Tanzania strained relationship - 1977

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Kumbe shida zetu na TZ zilianza kitambo hivi.
Here the finance minister - Mwai Kibaki, talks about the effects of the closed borders...

Kumbe TZ walianza mambo ya kufunga mipaka 1977, halafu hadi saa hii, 40 yrs later bado wanatutisha ??

The border remained closed for nearly seven years during which time there was virtually no trade between Kenya and Tanzania, except for smuggled goods.

We survived that time, we will survive again

Hawa hawajawahi kuendana na jirani yeyote, tatizo lao ujamaa, ni mfumo unaolemaza watu kiakili na kuwafanya kuwa wazembe, yaani mtu haruhusiwi kutumia akili zake ila lazima aongozwe na kuelekezwa, ni kama ilivyo kwenye baadhi ya dini.
Mara wamegombana na Rwanda, mara Malawi, mara Kenya, mara kiherehere kikawatuma kumchokonoa Id Amin hadi wakalea waasi wake kama akina Museveni ikapelekea Amin kuvamia na kuteka Kagera....
Hicho hicho kiherehere kikawatuma Comoros.....
 
kila tatizo na jirani yetu lilikuwa na chanzo tofauti, FYI hatajawi kushindwa popote, Uganda alichokoza Amin alipata alichikitaka,Comoro tuliwahi kuteka nchi nzima kwa kutumia boti mbili tu za upepo, Kongo bila sisi sasa uhivi sasa M23 wangekuwa wako capital yao,Msumbiji sina sababu ya kuelezea,bila mwalimu leo wangekuwa wareno bado wapo,89% ya watanzania hata hawajuuhi kama tuna mgogoro na Malawi.influence ya Tanzania subsaharan 7huwezi kukwepa,na bado tunachagua nani awe rais hapa great lakes
 
Tafuta watoto wa kudanganya.
The invasion of Anjouan (code-named Operation Democracy in Comoros),[5][6] on March 25, 2008, was an amphibious assault led by the Comoros, backed by African Union (AU) forces, including troops from Sudan, Tanzania, Senegal, along with logistical support from Libya and France. The objective of the invasion was to topple Colonel Mohamed Bacar's leadership in Anjouan, an island in the Union of Comoros, when he refused to step down after a disputed 2007 election, in defiance of the federal government and the AU. 2008 invasion of Anjouan - Wikipedia
 
Hawa hawajawahi kuendana na jirani yeyote, tatizo lao ujamaa, ni mfumo unaolemaza watu kiakili na kuwafanya kuwa wazembe, yaani mtu haruhusiwi kutumia akili zake ila lazima aongozwe na kuelekezwa, ni kama ilivyo kwenye baadhi ya dini.
Mara wamegombana na Rwanda, mara Malawi, mara Kenya, mara kiherehere kikawatuma kumchokonoa Id Amin hadi wakalea waasi wake kama akina Museveni ikapelekea Amin kuvamia na kuteka Kagera....
Hicho hicho kiherehere kikawatuma Comoros.....
Sikuwahi kujua kwamba kiwango chako cha upumbavu kimekomaa kiasi hiki. Calling you an idiot would be an insult to all the stupid people
 
Huyo ndivyo alivyo, kichwani hamna kitu, ni pumba tupu. Sasa hivi Kenya wanagombana na Somalia kuhusu bahari, wanagombana na South Sudan kuhusu mile kipande cha ardhi, wanagombania Migingo na Uganda, KDF wapo Somalia.

Tanzania tuna mgogoro na Malawi, lakini majirani wengine wote tupo nao peace sana
 
kila tatizo na jirani yetu lilikuwa na chanzo tofauti, FYI hatajawi kushindwa popote, Uganda alichokoza Amin alipata alichikitaka,Comoro tuliwahi kuteka nchi nzima kwa kutumia boti mbili tu za upepo, Kongo bila sisi sasa uhivi sasa M23 wangekuwa wako capital yao,Msumbiji sina sababu ya kuelezea,bila mwalimu leo wangekuwa wareno bado wapo,89% ya watanzania hata hawajuuhi kama tuna mgogoro na Malawi.influence ya Tanzania subsaharan 7huwezi kukwepa,na bado tunachagua nani awe rais hapa great lakes

Ugomvi wenu na Id Amin ulisababishwa na hicho kiherehere chenu, tatizo historia huwa mnaandika kwa kuficha ficha mambo muhimu. Huwa mnaanzia pale Amin alivamia Kagera, lakini hamuongelei kilicho sababisha uvamizi huo.
Ukweli ni kwamba kabla hajavamia Kagera, mlikua mnawalea maelfu ya waasi dhidi yake akina Museveni, yaani fikiria nchi jirani iwe inawalea waasi na kuwapa mafunzo dhidi ya Tanzania. Kwamba wanachokula wanachokunywa vyote vinagharamiwa na hiyo nchi, wanapewa mafunzo na mambo mengine mengi. Na ndio ikawa rahisi kumshinda Amin kwenye vita, maana hao waasi wake maelfu walihusika pakubwa.

Huku kujiweka kwenye ugomvi na kila jirani ndiko kumechangia pia kwenye umaskini wenu huo, japo ujamaa ni chanzo kubwa cha umaskini, lakini ugomvi pia unachangia pakubwa, ukiishi kila siku unaibua chuki dhidi ya majirani, hutapiga hatua.
Nyie huwa mna lile tatizo wataalam wanaita 'crab mentality', katafute kwenye Google maana yake.
 
Kuna hoja nyingi fikirishi, tuishi kulingana na matakwa ya mikataba ya kimataifa tuliyoridhia.
 
Nyerere, Fidel Castrol, Che Guevara, Martin Lutherking Jr. Wanahistoria moja, wamekua wakipinga na kupambana na aina yoyote ile ya ukandamizaji wa haki za binadamu duniani, hiyo ndiyo sababu kubwa ya Cuba kupigana vita duniani kote kuwasaidia watu wanyonge waliokua wakikandamizwa.

Tanzania vivyohivyo, tulimpinga IDD Amin kutokana na utawala wake dhalimu wa mauaji kwa waganda, Leo hii dunia nzima inamtambua IDD Amin kama mmoja wa watawala katili kupata kutokea duniani, waganda wanatushukuru sana kwa kumuondoa Amin.

Tumepigana Msumbiji, Zimbabwe, Angola na South Africa kwa lengo hilohilo la kuwatetea wanyonge walioteswa na kutawaliwa bila kutanguliza maslahi ya kiuchumi, sisi tunatanguliza ubinadamu mbele kabla ya maslahi ya kiuchumi.

Cuba ambayo pia ilitetea na kupigana vita nyingi kama Tanzania, Leo hii ndio Kenya mnakwenda kuwaomba msaada. Kipindi sisi tunapigana Kenya mlikua mnajenga uchumi, lakusikitisha hadi Leo hamna chakula, umasikini unaongezeka, unemployment, crime, inflation, bado ni failed state.
 
Back
Top Bottom