Kenya tax revenue up 11% in 2018/19, short of government target by $1.4B

Kenya tax revenue up 11% in 2018/19, short of government target by $1.4B

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
KRA imeendeleza Double digit growth ya ukusanyaji wakodi.. Mwaka wa 2012, tulikisanya $7B na sasa miaka 6 baadae, kodi imeongezeka mara dufu hadi $15B...
Kwa wale ambao hua wanapenda kusema GDP ya Kenya imepikwa, tukitumia hii taarifa tunaweza kudhihirisha kwamba GDP ya Kenya ni ya ukweli, Manake GDP mwaka wa 2011/2012 ilikua ni $50.4B wakati kodi ya KRA ilikua $7B, mwaka wa 2018/19 GDP ya Kenya ilikua $70Billion na kodi ikawa imeongezeka hadi $15B kumaanisha KRA wameongeza vyanzo vya sector za uchumi.
Na kodi hua si hesabu za kupigwa tu kwa karatasi kama vile GDP, Kodi ni pesa halisi zilizokusanywa na kuwekwa kwa benki.

Hata hivyo, bado changamoto tele, KRA bado inashindwa kufikia target iliowekwa na serekali, WB/IMF iliambia GoK waache kuekea KRA target ambazo haziwezi fikiwa manake inasababisha GoK kuanza kupanga bajeti ya mwaka unaofwata wakidhania hio target itafikiwa, alafu KRA wanapokosa kufikisha target, GoK inabaki imepanga bajeti kubwa lakini hela hazitoshi hio bajeti kubwa,inalazimu wakope hela kujaza bajeti kubwa... kwahivyo wakieka target ndogo watapanga bajeti ndogo ambayo itatoshelezwa na kodi za ndani pamoja na makusanyiko ya kampuni za kiserekali kama kina Kengen,KPLC,KPA,KAA,KPC,NSSF,KCB, National Bank, safaricom..etc

Wed, 14th Aug 2019 13:38
Thomson Reuters


NAIROBI, Aug 14 (Reuters) - Kenya's government revenues grew 11% in the 2018/19 (July-June) fiscal year, the tax authority said on Wednesday, but this fell short of the target set for the year.

The Kenya Revenue Authority said in a statement its collections grew to 1.58 trillion shillings ($15.32 billion) during the year to end-June, up from 1.435 trillion shillings in 2017/2018.

The government had a projected revenue target of 1.643 billion shillings for 2018/19.

The authority gave no reason for the shortfall, but the government is struggling to raise tax revenues to fund its budget.

Kenya is one of the fastest-growing countries in Africa, but its economy is often hit by drought. Violence after a December 2007 presidential election and disputes over the following two polls led some investors to scale back investment, hurting growth.

Missed revenue targets, rising public debt and uncontrolled expenditure have also emerged as concerns for investors in recent years.

The Kenya National Bureau of Statistics said in end-June the economy grew 5.6% year-on-year in the first quarter from 6.5% in the same quarter last year, due to dry weather which curbed the farming sector.

The government forecasts that the economy will expand by 6.3% in 2019, the same rate as a year earlier.

The tax authority said it is required to collect 1.938 trillion shillings in 2019/20.

The finance ministry set a budget deficit of 5.6% of GDP in June for the 2019/20 (July-June) fiscal year, targeting to borrow 324 billion shillings or close to half of the shortfall, from external sources.

The revenue authority has also had its own challenges. In May, 75 of its staff were arrested on suspicion of abetting tax evasion and bribery. ($1 = 103.1500 Kenyan shillings) (Reporting by John Ndiso; Editing by Stephen Powell)

 
Fight corruption Kenya....
More was supposed to be collected...
 
60% of all that will be straightforwarded to enlarge some 1% of Kenyas bellies. Interesting


40% shall be looted completely
 
Back
Top Bottom