Kenya tayari wameshakuwa wazalishaji na wauzaji mafuta nje ya nchi yao.

Ni demu mzuri sana huyo. Pale huwa anakosea ni kutetea magaidi kisa ni waislamu kama yeye. Kwa mambo mengine yupo sawa
Hata Mandela alihukumiwa kifungo cha maisha kwa ugaidi. Umesahau?

To you a terrorist to others a freedom fighter.
 
Labda 😂 😂😂. Kuna jamaa mmoja wa Mbeya alisoma Mzumbe A'level anaitwa Eliakim. Huwa kila nikiona jina lako hapa napata picha ya huyo jamaa.

Ahaa haa
Yuko wapi huyo siku hizi?
 
Pipe costs $2.3B, price per one barrel is $50. Total crude oil discovered is 800M barrels, recoverable is 30% of 800M. Does it make sense?
Jinga wewe wacha kujiwekea figures zako za kishenzi ati ndio uonekane mjuaji na mtalaamu.Mnafik kasumba mbaya hii recoverable oil is much much higher otherwise Tullow Oil would not proceed with exportation.Hivi wewe mTanzania wa slums wewe ndio mjuaji kuliko experts wa miaka 30 kampuni hii?
 
Yeye kaweka figure zake...na wewe utuwekee zako...
Sisi wachambuzi tutajua ni nani mkweli,nani miongo!!
Sio unaleta porojo mingi
 
Are you using a calculator made of sticks ama hesabu ulianguka! . 264M x60 is 15,840M ($16b rounded off), go find a proper calculator.
And stop coming up with your own fake numbers. Bring a link to show 30% is constant and prove Tullow who announced 600M wrong.

Read this on how Kenya's oil is some of the best in the world.

 
Acheni kujipa matumaini ya kijinga, Kenya hakuna mafuta ya kutosha, tafuteni source zingine. Uganda iliyogundua 6.5B barrels lakini inategemea kupata 1.4B barrels, ambayo ndio recoverable(30%), Kenya yenye only 800M barrels, tegemeeni kupata sio zaidi ya 270M barrels.
 
Hahahaha, kama kawaida yenu kujipa matumaini ya kijinga, mwisho wa siku mnaambulia mikono mitupu. Mafuta yote yanayotokana katika eneo la Bonde la ufa" Rift valley ", yana kiwango kikubwa sana cha Sulfur, kwahiyo hayana ubora, hii ndio sababu mafuta ya South Sudan yana thamani ndogo sana kuliko mafuta yanayotoka Uarabuni na Middle East.

Kuhusu kiwango cha recoverable oil, soma hii article ya Uganda, kisha linganisha na ninyi Kenya, mtapata kiasi gani kutokana na 800M barrels mlizozigundua, kama Uganda wanategemea kupata 1.4B kutokana na 6.5B walizogundua?. Punguzeni majigambo na kupenda kudanganyana kwa kujipa sifa za kijinga, Kenya hakuna mafuta kwa sasa hivi.
 
 
Dude keeps pulling figures from.his ass.
 
jiwe aendelee na hadithi zake za "tumeibiwa sana....tumechezewa sana.... blablabla".
 
Naandika nikifuta na kuandika upya, maana siamini pongezi za mleta mada...what's the catch.....
Anyway shukrani kama kweli hizo pongezi ni za dhati.
hata mimi kutokana na msimamo mikali ya kidini ya mleta mada nilidhani alikuwa anamainisha mafuta ya nguruwe.

ikabidi niifungue link ili nisome article in detail. hongera sana wakenya.

ila sasa mchukue tahadhari msije mkamwagana damu maana mafuta yana laana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…