Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape

They are reclaiming land for the rail port at kilindini creek not tudor creek....the new container terminal has been built on 100acres of land reclaimed from the sea...that's crazy

Woow I really love this SGR project...... Too bad haiingii Nakuru town but Naivasha town in Nakuru county...... But I have seen that they plan to put up 58 stations in its phase two... Up from nearly 40 stations in phase one

Ikimalizwa I will go by category to coast and panda train toka hapo mpaka malaba......
 
Impressive hii gava ni determined kumaliza hii project kweli. Wabongo wakiona hizi picha tumbo joto.Nasikia bagamoyo central sgr line kafutiliwa mbali.waganda na warwanda hakuna kwenda msa tena shehena watalingoja papa hapa nrb station.
 
Kwa walio na maono ya mbali, wataelewa hili.

Mkuu Bavaria,

Leo Benki ya Dunia imewaambia wajihadhari na mikopo ya Wachina yenye riba kubwa (non-concessional loans). (theeastafrican.co.ke).

Uchumi wa nchi nyingi za Kiafrika hazina uwezo wa kulipa haya madeni.

China peke yake imewakopesha $2.6 billion Kenya mpaka mwaka jana.

Huko mbele, Wachina watachukua tenda zote nchini kwao kufidia madeni haya kama wanavyofanya huko Angola leo.
 

Wachina sio watu kabisa. Nashangaa Watanzania tunawakumbatia hawa watu wasio na maana yeyote kwetu.
 
mmejitahidi shemeji zangu wakenya, ndo maana dada yenu simuachi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…