Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape

Hapa kazi tu mganda akisuasua.yetu ikifika kisumu basi huko kwengine atajipanga.
 
Kama sgr tunakimbia hivyo doooo......siku tunaanza kulifukia bomba letu tutalimaliza na mwaka mmoja.wacha hilo la ug eti hadi 2018.
 
 
Picha ya kwanza hadi tatu yaonyesha uhalisia wa jengo refu la control tower litakavyokuwa kwenye mandhari ya ufukwe wa bahari hindi.Tazama upeoni .....kweli SGR yanoga vilivyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…