Kenya to launch first operational satellite on April 10, 2023

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809

What you need to know:​

  • Taifa-1, or Nation-1 in Swahili, is scheduled to be launched on April 10 aboard the SpaceX Falcon 9 rocket from the Vandenberg Space Force Base in California.
  • The observation satellite is "fully designed and developed" by Kenyan engineers.
Kenya will launch its first operational satellite next week in a landmark achievement for the country's space programme, the government said on Monday.

==========

Taifa-1, or Nation-1 in Swahili, is scheduled to be launched on April 10 aboard the SpaceX Falcon 9 rocket from the Vandenberg Space Force Base in California.

"The mission is an important milestone," the defence ministry and Kenya Space Agency said in a joint statement, adding that it would contribute significantly to the country's "budding space economy".

The observation satellite is "fully designed and developed" by Kenyan engineers and will be used to provide data on agriculture and food security, among other areas, the statement said.

Testing and manufacturing of the parts were done in collaboration with a Bulgarian aerospace manufacturer, it added.

An East African economic powerhouse, Kenya is suffering its worst drought in decades after five failed rain seasons.

The satellite launch will add to a push by African nations for scientific innovation and the development of space programmes.

Egypt was the first African country to send a satellite into space in 1998.

In 2018, Kenya launched its first experimental nano-satellite from the International Space Station.

As of 2022, at least 13 African countries had manufactured 48 satellites, according to Space in Africa, a Nigeria-based firm that tracks African space programmes.

More than 50 African satellites have been launched as of November 2022, according to Space in Africa, although none from African soil.

In January, the Djibouti government announced a memorandum of understanding with a Hong Kong-based company to build a $1 billion commercial spaceport that is expected to take five years to complete.

Source: Nation
 
Habari ambayo sijaielewa asbh hii kutoka kituo fulani cha Radio inasema KENYA itarusha SATELLITE ya kwanza angani kuchunguza Dunia,na SATELLITE hiyo itarushwa nchini Marekani ktk mji wa Calfonia

Mbona kama ni kujiMwambafai kwenye hamna.

NB:- Africa tunapaswa kuwaza mawazo yetu na tuje na mambo ya kwetu yatakayo fanya hayo mataifa mengine pia watamani kutoka kwetu na tufanye nao biashara,lakini haya mambo ya kuiga iga pasipo na uwezo wowote ni kujiaibisha tu.
 
Habari ambayo sijaielewa asbh hii kutoka kituo fulani cha Radio inasema KENYA itarusha SATELLITE ya kwanza angani kuchunguza Dunia,na SATELLITE hiyo itarushwa nchini Marekani ktk mji wa Calfonia...
Kenya wanataka waichunguze dunia, wanataka wagindue nini ambacho hadi leo hakijagunduliwa?
 
Habari ambayo sijaielewa asbh hii kutoka kituo fulani cha Radio inasema KENYA itarusha SATELLITE ya kwanza angani kuchunguza Dunia,na SATELLITE hiyo itarushwa nchini Marekani ktk mji wa Calfonia...

Shida ya nchi zetu ni vipau mbele. Una watu wengi tu wana njaa. Wanakaribia kufa. Hakuna mpango wa muda, mfupi, wa kati, wala mrefu kurekebisha hali. Halafu unaenda kununua sijui kurusha kitu gani sijui.

Huko ni kuiga iga tu kusiko na maana. Wale wanaorusha hizo ndude, wana ziada katika matumizi yao, au wana mipango inayotekelezwa ili kutatua changamoto za msingi za raia wao. Wee hapo watu wanaandamana kwa kutosa githeri na unga, halafu unaenda kutupa hela nyingi hivyo mtoni.
 
Kwanini isirushwe nchini kenya katika mji wa nairobi
 
Shida ya nchi zetu ni vibau mbele. Una watu wengi tu wana njaa. Wanakaribia kufa. Hakuna mpango wa muda, mfupi, wa kati, wala mrefu kurekebisha hali. Halafu unaenda kununua sijui kurusha kitu gani sijui.

Huko ni kuiga iga tu kusiko na maana. Wale wanaorusha hizo ndude, wana ziada katika matumizi yao, au wana mipango inayotekelezwa ili kutatua changamoto za msingi za raia wao. Wee hapo watu wanaandamana kwa kutosa githeri na unga, halafu unaenda kutupa hela nyingi hivyo mtoni.
Raisi mwenyewe kachaguliwa na wa-Venezuela...
 
Shida ya nchi zetu ni vipau mbele. Una watu wengi tu wana njaa. Wanakaribia kufa. Hakuna mpango wa muda, mfupi, wa kati, wala mrefu kurekebisha hali. Halafu unaenda kununua sijui kurusha kitu gani sijui.

Huko ni kuiga iga tu kusiko na maana. Wale wanaorusha hizo ndude, wana ziada katika matumizi yao, au wana mipango inayotekelezwa ili kutatua changamoto za msingi za raia wao. Wee hapo watu wanaandamana kwa kutosa githeri na unga, halafu unaenda kutupa hela nyingi hivyo mtoni.
Sure
 
Siku ya leo Kenya watakwenda kuweka rekodi ya kurusha satellite yao ya kwanza anga za mbali , Nasema satellite ya kwanza namanisha kwasababu itakuwa ni satellite rasmi kabisa itakayotumika katika shughuli rasmi .

Chombo hicho kimepewa jina la Nation - 1 au Taifa -1 kwa lugha ya kiswahili ambapo itapelekwa anga za mbali kwa kutumia rocket ya Falcon 9 ambayo itakuwa na jukumu kubwa la kupeleka satellite kadhaa angani alfajiri ya kesho .

Chombo hicho kimetengenezwa na wakenya wenyewe ambapo kitakwenda kutumika katika shughuli za kilimo , utunzaji wa data na ulinzi wa maeneo mbalimbali ya nchi hiyo .

Moja kati ya hatua kubwa sana kwa nchi jirani yetu Kenya kwasababu Maisha yamebadilika sana matumizi ya tekinolojia ni mkubwa kuliko matumizi ya njia za kizamani , hivyo nawaona Kenya wakifika mbali zaidi katika masuala ya kujitegemea katika tekinolojia

Rocket ya Falcon 9 itaruka katika mida ya saa 9:48 am Asubuhi kwa masaa ya Afrika ya Mashariki

Nadhani wengi wanawezs kuwa na maswali mengi kuhusu gharama za urushwaji wa satellite

Iko hivi Wazungu walikuja na mpango mkakati wa kupunguza ukubwa wa satellite ili kuweza kubebwa zaidi ya moja katika rocket ambapo kwa sasa rocket moja inaweza kubeba hata satellite kumi au na zaidi zenye umbo dogo huku zile zenye umbo kubwa huwezwa kubebwa hata mbili ndani yake ili kuweza kupunguza gharama kwa wanaorusha satellite hizo

[emoji419]Moudyswema
[emoji419]Tanzaniascienceyetu
[emoji419]AstronomyKiswahili

FB_IMG_1681157278086.jpg
 
Back
Top Bottom