Kenya to launch first operational satellite on April 10, 2023

Kuna vipanga humu ndani wanasema wazungu walikuwa wanawadanganya hakuna kitu kama satellite ni uongo tu.

Sasa leo imefanyika hapa jirani sijajua wamelipokeaje hilo

Au sijui watawaongeza na wakenya kwenye list ya waongo?

REALITY

Kisai

Hao ndio nao wakumbuka kwa uchache, ngoja waje wataje na wenzao
 

What you need to know:​

  • Taifa-1, or Nation-1 in Swahili, is scheduled to be launched on April 10 aboard the SpaceX Falcon 9 rocket from the Vandenberg Space Force Base in California...
Huko ccm wako busy kuiba zaidi ya 2trillion
 
Tz iko wapi na lini kwy hii? Hata Djibouti inathubutu!!!!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni ya pili. Ya kwanza ilikuwa ni ya kilimo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Enzi ya Magufuli wanasayansi wa Tz walipewa nafasi kubwa sana kuliko wanasiasa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
The government is broke will you really be able to maintain the costs associated with satelite operation including staff salaries au mnataka kutuletea environmental disaster satelite ituangukie bure?
 
Kenya hawapendani ndo maana yanatokea haya tunayoyaona. Unakuta jitu 1 linamiliki ardhi karibia wilaya nzima na imepigwa fensi alafu raia wanaishia kuishi juakali, kupanga kwenye magorofa na kula unga wa supermarket....ambao umesagwa na yuleyule jamaa anaemiliki ardhi kubwa na ndo huyo alojenga gorofa masikini wanapanga. So mtu masikini Kenya hawezi jikwamua hata asome mpaka kuzimu ataishia kuajiriwa safaricom na kulipa Kodi ya nyumba mpaka afe....no right to own a PC of land....no access to food production, no access to large economy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…