Kenya to rebase GDP after new Euro bond: What does this mean?

Wivu ni wa nini mzee? Yaani unatuonea wivu kwa sababu tunawapiga lap kwenye Gdp? Ni kama tuko kwenye mashindano ya riadha halafu sisi tunawapiga tunawaovertake mara mbili. Najua Malazy mnahisi uchungu usio na mithili.

No one is jealous with your cosmetic and window shop GDP. Everything is the same like past 5+ years. But you are feeling that your GDP has tripled.
🀣🀣🀣
 
Mbona Tanzania na nchi zingine nyingi kama Ethiopia wanajenga Renaissance Dam na miradi mingine kama hiyo uliyoitaja bila kufanya hiyo GDP cosmetics.
 
Mbona Tanzania na nchi zingine nyingi kama Ethiopia wanajenga Renaissance Dam na miradi mingine kama hiyo uliyoitaja bila kufanya hiyo GDP cosmetics.
Sasa unaniblame kwa sababu serikali zenu zimeshindwa kurebase Gdp zenu?
 
Sasa unaniblame kwa sababu serikali zenu zimeshindwa kurebase Gdp zenu?

Hazijashindwa kufanya miradi mikubwa kama kujenga mabwawa. Ila Kenya, bila ku apply GDP cosmetics HAITAWEZA KAMWE KUJENGA HATA MILLIMETRE 1 YA BARABARA.
🀣🀣🀣
 
Hazijashindwa kufanya miradi mikubwa kama kujenga mabwawa. Ila Kenya, bila ku apply GDP cosmetics HAITAWEZA KAMWE KUJENGA HATA MILLIMETRE 1 YA BARABARA.
🀣🀣🀣
Hata sisi tumejenga miradi mikubwa. SGR phase 1 and 2 ni total of $4.5 billion.
 
Hazijashindwa kufanya miradi mikubwa kama kujenga mabwawa. Ila Kenya, bila ku apply GDP cosmetics HAITAWEZA KAMWE KUJENGA HATA MILLIMETRE 1 YA BARABARA.
🀣🀣🀣
Just unapiga kelele Sana, let me remind you some facts about Kenya and Tanzania.

1. Kenya as twice the length of paved roads as compared to Tanzania, 22,000km vs 12,000 km.

2. Electricity connectivity in Kenya is 85%, Tanzania is 40%.

3. Customers connected to electricity in Kenya are 8.5M, Tanzania is 2.7M.

3. Kenya has more health centers than Tanzania, 13,000 Vs 9,000.

4. Kenya has more educational centers than Tanzania.
 
Get to know this!!?
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

This is fake Tanzania bado vijiji 2000 Kati ya 12000 kupata umeme.Mpaka 2024 Tanzania nzima kutakuwa na umeme kila sehemu.Sasa hapo Tafuta customers wapo wangapi.
 
Provide relevant Data.why are you always fake?
 
This is fake Tanzania bado vijiji 2000 Kati ya 12000 kupata umeme.Mpaka 2024 Tanzania nzima kutakuwa na umeme kila sehemu.Sasa hapo Tafuta customers wapo wangapi.
Actually you are stupid, Kijiji kuwa na umeme haimanishi Kila nyumba kwenye hicho Kijiji kimeunganishwa. Total customers connected to electricity in Tanzania are 2.7M and access rate is 40%.

This is fake Tanzania bado vijiji 2000 Kati ya 12000 kupata umeme.Mpaka 2024 Tanzania nzima kutakuwa na umeme kila sehemu.Sasa hapo Tafuta customers wapo wangapi.
Najua hampendi ukweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Vs

We are ahead of you in everything because of debts, so keep and reason properly.

I don't know the way you guys are reasoning. You are comfortable with debts simply because you (think) are ahead of someone.
& not to be ahead of your plans and visions.
Hii kweli kazi.
But all in all, Kenya is going to be Greece of E. Afrika.
 
I don't know the way you guys are reasoning. You are comfortable with debts simply because you (think) are ahead of simeone.
& not to be ahead of your plans and visions.
Hii kweli kazi.
But all in all, Kenya is going to be Greece of E. Afrika.
Who doesn't like proper and good infrastructure? Do you know why our infrastructure is way ahead of you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…