Kenya to Tanzania bussiness

Kenya to Tanzania bussiness

Therichman

Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
31
Reaction score
42
Wanajamvi habarini za jioni. Nina mtaji wa milion 2 niko ARUSHA. Je ni bidhaa gani naweza kutoa kenya na kuuzaa Tanzania au kutoa Tanzania kwenda kenya nikatengeneza profit. Karibuni mawazo yenu ni ya dhamani sana kwangu
 
Back
Top Bottom