T Therichman Member Joined Sep 16, 2016 Posts 31 Reaction score 42 Oct 26, 2016 #1 Wanajamvi habarini za jioni. Nina mtaji wa milion 2 niko ARUSHA. Je ni bidhaa gani naweza kutoa kenya na kuuzaa Tanzania au kutoa Tanzania kwenda kenya nikatengeneza profit. Karibuni mawazo yenu ni ya dhamani sana kwangu
Wanajamvi habarini za jioni. Nina mtaji wa milion 2 niko ARUSHA. Je ni bidhaa gani naweza kutoa kenya na kuuzaa Tanzania au kutoa Tanzania kwenda kenya nikatengeneza profit. Karibuni mawazo yenu ni ya dhamani sana kwangu