Kenya toughens sea warfare team with more marine commandos

Umeshaoga? Au kwakuwa una deal na makanga tu hapo bhas wanachukulia mambo kawaida tu... You are making us suffocating here.
Jifunze kiingereza kwanza afu jamaa upo mtupu kichwani acha kujiaibisha.....''you are making us suffocating here''..tehehehehe.
kalb hayawan
 
Jifunze kiingereza kwanza afu jamaa uko mtupu kichwani acha kujiaibisha
kalb hayawan

Why should i learn English? Asante kwa kuwa shabiki wangu hapa jukwaani na kufatilia kila ninacho post.
 
Sawa ,mweree... shika njia bhas. Mbona kelele sana?
Wewe uko na shida mingi sana kwa maisha yako utanzania ndiyo ya kwanza. Kwanza kawaulizeni UN kama maiti ya wanajeshi wenu waliokatwa mapanga na watoto huko DRC ilipatikana yote. Najua ni 15 walirudishwa kuzikwa 2017, na 2018 ni watano tu walirudishwa kuzikwa.
Yani mpaka wanajeshi wa nepal ndio walikuja kuwaokoa kutoka kwa shambulizi la watoto.

Hivi juzi nayo mnatuma majeshi wenyu wakiwa ndani ya boat ya kuvua samaki wakapigwa huko karibu na mozambique na mpakani.
 
Sawa ,mweree... shika njia bhas. Mbona kelele sana?
Yani umeshidwa kabisa kujenga hoja mpaka utanzania ikakuzidi, ukaona sasa matusi na kelele za kijiji ndiyo itakutoa aibu ya kutojua unachozungumzia.
 
Yani umeshidwa kabisa kujenga hoja mpaka utanzania ikakuzidi, ukaona sasa matusi na kelele za kijiji ndiyo itakutoa aibu ya kutojua unachozungumzia.

Mbona unawashwa hivyo kevoo? Hivi kdf walivyovua nguo wakabaki ndedhe shababiz waliwafanya vipi kule machakani walikokuwa wameinama?
 
Thibitisha unachokisema acha kuropoka ulizia vizuri jeshi la nchi gani Congo wako very effective tuliwamaliza hao kina m23 Congo acha kuropoka toa uthibitisho.we hujiulizi hao watu hawaivamii Tanzania lakini wanavamia nchi nyingine ikiwepo Kenya mnakuja kubakwa hukohuko kwenu
 
Hawa ma komando wa kunya,wamekula msosi.tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…