COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Wewe sio mswahili?safi sanaaaa.....waswahili wengi wapo wanamsupport muingerezaaa, meffi sana
Hahaha! 😀 Kumbe hizi rangi rangi zao waliiba kutoka kwa Embassava Sacco? Damn!Croatia Team kubwa.
umepewa reason fala si lazima u comment kila mahalimko nyuma ya kila mtu nyie!
buda nani alikudanganya mbappe ni ndugu yakoSisi watanzania tupo nyuma ya France kwasababu kule Kuna ndugu zetu wa damu kabisa kama Mbape!
Tunasubiri jumapili amchakaze Croatia
haina noma buda...mimi nko embassava mbayaOooops!. But fainali budaaaa, mtanisamehe.... nafa na Ufaranza walahi.