Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hivi hakuna uwezekano wao wakenya tubadilishane watupe msanii wao masauti..
Sisi tuwape lavalava,hamisa,harmorapa,
Maana sioni wanachokiimba..
Huyu masauti ukimsikiliza anasound kama mbongo yaani ni bongo flava yetu kabisa ukiskliza ngoma zake kiboko,ipepete ,deka,burudani..
Unabaki kushangaa imekuwa kawa mkenya?
Sio hizi kenge zetu nilizozitaja hapo.
Mwenye kufikisha ujumbe afikishe huko 254 tufanye mabadilishano haraka..