Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
tena tuwaongezee na Linah sababu amechuja watupe masautiAcha roho ya chuki mzee baba Lavalava Ni msanii mzuri ana sauti nzuri alafu anajua kuandika mashairi kutomuelewa wewe haimanishi wengine hawamuelewi Me Binafsi Harmonize simuelewi kwenye upande wa kipaji sio vocalist kabisa lakini Hakuna mtu anaelalamika au kumshutumu vibaya Kama unavyofanya wewe
Acha roho ya chuki mzee baba Lavalava Ni msanii mzuri ana sauti nzuri alafu anajua kuandika mashairi kutomuelewa wewe haimanishi wengine hawamuelewi Me Binafsi Harmonize simuelewi kwenye upande wa kipaji sio vocalist kabisa lakini Hakuna mtu anaelalamika au kumshutumu vibaya Kama unavyofanya wewe
Wamchukue na huyo linah ila lavalava ndo aongozetena tuwaongezee na Linah sababu amechuja watupe masauti
Masauti ni mkali mnoo aseehtena tuwaongezee na Linah sababu amechuja watupe masauti
Hakuna kitu hapo [emoji1787] bora lavalava abakiHamtaki otille brown ????[emoji848]
Tutawaongeza na baba levo, akiwa shishi baby plus zuchuHamtaki otille brown ????🤔
Lavalava ni kati ya wasanii wachache wenye sauti nzuri na wanaojua sana sema aina ya mziki wake kwa mda mrefu ilikua haieleweki mpaka recently kaanza kubadilika kidogoAcha roho ya chuki mzee baba Lavalava Ni msanii mzuri ana sauti nzuri alafu anajua kuandika mashairi kutomuelewa wewe haimanishi wengine hawamuelewi Me Binafsi Harmonize simuelewi kwenye upande wa kipaji sio vocalist kabisa lakini Hakuna mtu anaelalamika au kumshutumu vibaya Kama unavyofanya wewe
Kigoma Independent anasemaje?Tuwaongeze na zuchu kama bonus
lakini Hakuna mtu anaelalamika au kumshutumu vibaya Kama unavyofanya wewe
Kamejisahau hako hahaUnamaanisha mchangiaji sio mtu?
acha ujinga na upumbavu lavalava usifananishe na hizo takatakaWamchukue na huyo linah ila lavalava ndo aongoze
sasa inatakiwa aanze nandy machupi, kwanza sawa dogoKama vipi tuwape na whozu, ongeza na zuchu waende tu hatuna shida nao ..
pumbavuTutawaongeza na baba levo, akiwa shishi baby plus zuchu